Nataka kutoa single...Nipeni mistari!

wasanii wa kibongo ndio reflection toka kwenu...upuuzi mtupu.....ndio maana siku hizi hamna jipya kwenye tungo za wasanii.....
Haya sasa YO YO tupe mistari yakwako unayoiaminia..1..2..3..Anza...
 
Anza hivi.

Mi ndo .........
Napasua mashairi kama kokoto
bifu kwangu ndoto
nishakua si mtoto
sina tabia za kitimoto
za kuyeyuka wakati wa joto
mashahiri yanapanda bila msokoto
nachora jamii zaidi ya foto
bila madela
kwenda jela
uhuru usingepatikana kama hela.
anayetaka shari namwona ****
hawezi ishi na watu kama simba na swala.

endeleza
 
yoyoyoyo..aah..nakuzia nina nia,
mchana ninalia,
usiku naumia,
nataka we wangu kukuoa na nia,
ooh baby gal acha kunibania,
rafikizo wameolewa suzy hadi sonia,
sina pakupandia wala pakushushia,
njoo ule vanila mabaga sio bamia,
mapenzi moto moto kama mzee wa mia,
njoo ule halua,
njoo unipelo tunda nilile kwa kumung'unya,
kwenye beat nakaza,
sitaki tena kumia,
na kwa hizi lyrics lazima utanipa mia.

Mbona kama umechukua mistari ya zzzz...
 
Anza hivi.
Mi ndo .........
Napasua mashairi kama kokoto
bifu kwangu ndoto
nishakua si mtoto
sina tabia za kitimoto
za kuyeyuka wakati wa joto
mashahiri yanapanda bila msokoto
nachora jamii zaidi ya foto
bila madela
kwenda jela
uhuru usingepatikana kama hela.
anayetaka shari namwona ****
hawezi ishi na watu kama simba na swala.
endeleza
....Excellent kama jina lako lakini,aijaendana na jina la nyimbo 'nakuzimia'
 
Okay chek this one,
nampenda cessy
mtoto hapendi lesy
ukimchek ana cute face
hanywi bia yeye ni juisi
ana very romantic lipsi
yaani everytime nataka mkiss??
Yeah yeah anataka kuwa lawyer hataki kuwa nesi
ili asolve zao kesi
mtoto easy to carry yani mwepesi
yah thats my baby cessy.
 
nimekuzimia mia,nimekufia fia.nikinywa maji nakuona kwe glas,ukitembea kama unarudi nyuma, ukicheka kama unilia.lakini nakupenda tu.!!tafuta biti ya maana.!!
 
Okay chek this one,
nampenda cessy
mtoto hapendi lesy
ukimchek ana cute face
hanywi bia yeye ni juisi
ana very romantic lipsi
yaani everytime nataka mkiss??
Yeah yeah anataka kuwa lawyer hataki kuwa nesi
ili asolve zao kesi
mtoto easy to carry yani mwepesi
yah thats my baby cessy.
yes that z ma baby cessy, yeh huyo baby cessy lazima nizimie pale track ikitoka
 
nimekuzimia mia,nimekufia fia.nikinywa maji nakuona kwe glas,ukitembea kama unarudi nyuma, ukicheka kama unilia.lakini nakupenda tu.!!tafuta biti ya maana.!!
nakupenda 2 hatakama unapua kama ngumi nakuzimia tu...(biti ipo)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom