nataka kutoa Like maalum

Lucas

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,457
1,108
[h=1]Smiling Saint
user-online.png

JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
[/h]



like ya 101, hebu jitahidi uipate, uanze 100 zingine. kuhusu utaipataje ni kupost post nzuuuuuri hapa hapa chit chat na kwa lugha nzuri
 
mi nampongeza flora msoffe kwa kujifungua mtoto wa kike salama, katuongezea kamanda mpya
 
Mmh jamani, sijui niandike nini nipate hiyo like.... Dah! Mi naomba bure.
 
sema jibaba judgement. Yule mtu mzima ujue.


aha ha ah ah ahahh ahhahah.... kweli una heshima ..... nilikuwa nasubiri comment yako juu ya hilo, sasa kama ni kibaba, hakijambo hicho kibaba?
 
Kwanza nigongee like faster kwa kukutoa ushamba wa kutojua Dislike ilipo...
 
Ha ha ha ha.

Ngoja niandike kwa lugha ya taifa.

Ninhage shi nene eLike yeniyo, nabatindaga pye abangi.
 
Ha ha ha ha.

Ngoja niandike kwa lugha ya taifa.

Ninhage shi nene eLike yeniyo, nabatindaga pye abangi.


ah h ahahah aahha aahahah Nkoi onikumya ha moyo gete, hene ulu nukutulila bhakuhaya "ukabila" ali gemaga hangi
 
Back
Top Bottom