Habari, natafuta gari aina ya SUZUKI GRAND VITARA kwenye yard za hapa bongo, je ni wapi nitapata? naomba pia nijue faida na hasara za kununulia gari hapa bongo.
Ipi exactly?,kuna za 1998-2004 na
2005-2012,model mbili tofauti,
na ukisema grand vitara unaingia moja kwa moja kwenye V6
Search google upate uelewa wa unachomanisha then you choose from the VIM here under,
Faida na madhara ya ku import mwenyewe ama kununua hapa inategemea na uelewa wako juu ya magari,coz what you will save ni hiyo faida ambayo muuzaji wa hapa ameweka,na hustles za kusuburi na clearance ni kero pia kwa baadhi ya watu
Mkuu nimependa your response. I was once told hawa wanaouza humu nchini wanaiba sana vipuri and you're not allowed to taste it out of the show room gate. Is this true?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.