Nataka kumsaidia kwa matokeo haya atapata chuo

Persie

Senior Member
May 2, 2012
188
15
Gpa

0.9

PASS

CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'B' ENGL - 'B' PHY - 'E' CHEM - 'E' BIO - 'E' B/MATH - 'F'

Chuo cha Certificate yoyote ile mwanamke matokeo yake ndio kama yalivyo hapo 2 credit anazo ila 4 passes ndo sijui kutokana na grade zao
 
Kama n Ku reseat asishawishiwe ashawishike mwenyewe tena kisawa sawa la sivyo hicho cheti asaiv kinaonekana kichafu kimechanganya B, E na F. Ukimlazimisha atakirudisha kisafi, Nahc umeelewa huo usafi ninaozungumzia.
 
Anapata certificate hapo... pale magogoni Tanzania Public Service College(tpsc)kajaribu kumuulizia..wanaweza muanzishia foundation course then akimaliza anaunga certificate
 
Anapata certificate hapo... pale magogoni Tanzania Public Service College(tpsc)kajaribu kumuulizia..wanaweza muanzishia foundation course then akimaliza anaunga certificate
Nlisikia kitu kama hiki ila sikuwa na uhakika ngoja nikipita niulizie pale
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom