Nlisikia kitu kama hiki ila sikuwa na uhakika ngoja nikipita niulizie paleAnapata certificate hapo... pale magogoni Tanzania Public Service College(tpsc)kajaribu kumuulizia..wanaweza muanzishia foundation course then akimaliza anaunga certificate
Nlisikia kitu kama hiki ila sikuwa na uhakika ngoja nikipita niulizie pale