Nataka kuleta hizi gari hapo bongo je barabara zipo nzuri lakini?

Lakini ukiangalia unaweza kweli kudunda BAK ila sasa si inategemea ulizaliwa mwaka gani pia. Bibi yangu is almost 100 of not 100 already maana si unajua tena wazee wa zamani kuhifadhi kumbukumbu ilikuwa anasa na bado she is going strong ingawa magonjwa ya uzee yanamuandama kwa sasa. Hebu tuanze kufuatilia lishe ya Mzizi tuongeze siku za kuishi........


....Neno hilo JS miye kuna jamii ya nuts nilikuwa sijawahi kuzigusa hata siku moja lakini baada ya Mkuu MziziMkavu kuzifagilia sana hapa jamvini siku hizi hazikosi nyumbani kwangu....na asali kama kazi tena asali mbichi nimeachana na jam siku hizi :):)
 
mkuu we zilete tu kwani wengine wanapitishia wapi magari yao!!!anyway kwani wewe unataka barabara za aina gani?gari zenyewe ziko juu kwa hiyo huitaji barabara ya lami hata kwenye matope wewe utakuwa unapita!!!
 
Umenipa picha ya jinsi unavyofanania...hapa ukizitoa bandarini moja kwa moja uwanja wa sabasaba kwa ajili ya maonesho
 
Sasa Mzizi haya magari tunapandia kwa ngazi ama? maana huo urefu na si viandunje....hapo umenikuta nazurura kwenye jua kali wataka kunipatia lift nitapandaje?
@JS kukupa lift kazi kubwa sana itabidi nishuke na kukubeba kwa juu ili uweze kupanda ndani ya Gari. Hayo magari kwa barabar zetu za Tanzania haiwezekani kuyatumia hayafai kuyaleta haya magari hapo kwetu Tanzania hatuna barabara nzuri.
 
BlueThunder.jpg
monster_crash_car.jpg
smart-car-monster-truck.jpg
1060227062_97dd734fb0.jpg
Monster-Truck-Car-Games.jpg
CRUSHER.jpg
0,0,116,18335,850,567,e7254243.jpg
zcamain.jpg
Monster-Smart-Car.jpg
RED_DRAGON_1.jpg
Monster_Car_monster_truck_rc_car_1_5_buggy_toy.jpg
0.jpg
350__1_1833.jpg
zaporozhetz-965-4wd.jpg
car_monster_truck_14.jpg
35608551_1.jpg
bigfootsi.jpg
bigfootnk1.jpg
0,,17826043-EX,00.jpg
veiculos_006.jpg
veiculos_005.jpg
roda+gigante.jpg
imagem.bmp
veiculos_009.jpg
veiculos_007.jpg
veiculos_013.jpg
veiculos_010.jpg
batman-monster-truck-20070817113430022-000.jpg
cadillac_escalade_monster_truck.jpg
wildcat1.JPG
Monster%20Truck.jpg
monster_truck_limo-monster_limousine.jpg
monster_truck_kinsmen.gif
now-thats-a-monster-truck.jpg
monster_trucks_467.jpg
Monster%20Truck%20-%20City%20Show.jpg
rc-monster-trucks.jpg
030_monster_truck_470_470x352.jpg
0201_10zoom+Goldberg_Monster_Truck+Side_Driver_Side_View.jpg
monster-jam-truck-game1.jpg
 
Mkuu, hizo ndo zinafaa kwenye barabara mbovu. Huko kuinuliwa maana yake si ni ili ziweze kuhimili vishindo vya barabara mashimo Kama za bongo?
 
Subiri ahadi ya huyu msaaniii hapo juu atimize kuifanya kigoma dubai of Africa au fly over za dar ziwe tayari au kujenga barabara za lami kila wilaya na mkoa ndo ulete maana kwa sasa hata huko porini hayatapita maana hakuna barabara
 
Haya yalete.. ndo yanafaa kwa barabara zetu.
Hizi sio gari za mjini.. na ukiileta ukatembelea mjini nitakuona ***** sana..
mjini leta rolls royce Ghost, phantom na sedan nyingine.
Hizi peleka huko ambako hata gravel roads hakuna
 
Letee! Hizi gari bomba sana kwa wale trafic wanaokimbilia kuchomoa funguo zetu za magari. Tutaoma sasa kama wanaweza kuzifuata huko juu!!!
Pili pale kwa Mtogole wale wezi wa simu unapita tu huku ukiongea na simu yako bila wasiwasi! Mateja hawawezi kuruka! Mkuu fanya haraka uzilete.
 
Barabara za nini na hizo ndio all terrain zenyewe? How do those tires move? Independantly from each other au zimeungana?
 
Hizo gari zina high clearance. Hutapata shida yoyote. Kwanza unaweza kufanya show, watu wakaja kutazama, ukapata hela, haswa hiyo yenye matairi ya trekta!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom