Nataka kuleta hizi gari hapo bongo je barabara zipo nzuri lakini?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,082
154554_10150959123014018_760699017_12822389_453823114_n.jpg
156133_10150958998304018_760699017_12822055_1877965527_n.jpg
 
...MziziMkavu labda usubiri barabara za flyover kama zilivyoahidiwa na msanii....inasemekana zitakuwa tayari mwaka 2095 :):)
@BAK Hizo barabara ziwe teyari mwaka 2095 tutakuwa tumesha kufa?

Kweli Mkuu maana barabara hizi tulizozizoea ataishia kupaki hayo magari nyumbani tu.

@Lily Flower ina maana hakuna barabara nzuri Tanzania ? Tanzania hakuna viongozi bali ni ufisadi tu kasheshe kweli bongo yetu.
 
Flyover pesa ilikuwa atoe Gadafi, hakuna hiyo ishu tena! Huyu msanii wa kizazi cha kale ndo maana haimbi tena huo mradi..kenya pesa ilishatoka from the same source Gadafi
 
BAK Hizo barabara ziwe teyari mwaka 2095 tutakuwa tumesha kufa?
Lily Flower ina maana hakuna barabara nzuri Tanzania ? Tanzania hakuna viongozi bali ni ufisadi tu kasheshe kweli bongo yetu.

Mkuu we baki nazo huko huko huku kwetu ni kitendawili, maana kuna rafiki yangu mmoja kuna siku tulimrescue katumbukia kwenye andaki barabarani, ni soo mkuu.

Last edited by a moderator:
@BAK Hizo barabara ziwe teyari mwaka 2095 tutakuwa tumesha kufa?

...Tukilamba asali, kutafuna tangawizi, mdalasini, hiliki, vitunguu saumu, kula matango kwa wingi n.k. kama tunavyoshauriwa na MziziMkavu :):):) basi 2095 tutakuwa bado tunadunda tu!
 
...Tukilamba asali, kutafuna tangawizi, mdalasini, hiliki, vitunguu saumu, kula matango kwa wingi n.k. kama tunavyoshauriwa na MziziMkavu :):):) basi 2095 tutakuwa bado tunadunda tu!

Utakuwa ushakuwa kibabu yani hata kujikongoja huwezi. utakuwa na hali mbaya sana BAK :smile:
 
Last edited by a moderator:
Yaani ukiyaleta haya lazima matrafik wanenepe.Utasikia nipe kibali cha kunyanyua gari hivyo wengine watakwambia haipo kwenye list ya magari wanaojua wao yaani utajuta
 
Sasa Mzizi haya magari tunapandia kwa ngazi ama? maana huo urefu na si viandunje....hapo umenikuta nazurura kwenye jua kali wataka kunipatia lift nitapandaje?
 
Utakuwa ushakuwa kibabu yani hata kujikongoja huwezi. utakuwa na hali mbaya sana BAK :smile:

Hahahahahah lol! JS unadhani hata ukila vyakula hivyo hapo juu kama tunavyoshauriwa na MziziMkavu huwezi kweli ukawa bado unadunda? :):)
 
...Tukilamba asali, kutafuna tangawizi, mdalasini, hiliki, vitunguu saumu, kula matango kwa wingi n.k. kama tunavyoshauriwa na MziziMkavu :):):) basi 2095 tutakuwa bado tunadunda tu!
@BAK Tupate na Viongozi wenye kutupa Raha za maisha sio Viongozi wanaopenda Ufisadi na kuiba mali za Wanyonge walala hoi. We have to Change our leadership, yes We Can.
 
Hahahahahah lol! JS unadhani hata ukila vyakula hivyo hapo juu kama tunavyoshauriwa na MziziMkavu huwezi kweli ukawa bado unadunda? :):)

Lakini ukiangalia unaweza kweli kudunda BAK ila sasa si inategemea ulizaliwa mwaka gani pia. Bibi yangu is almost 100 of not 100 already maana si unajua tena wazee wa zamani kuhifadhi kumbukumbu ilikuwa anasa na bado she is going strong ingawa magonjwa ya uzee yanamuandama kwa sasa. Hebu tuanze kufuatilia lishe ya Mzizi tuongeze siku za kuishi........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom