Nataka kuhamia mozambiqe/msumbiji ya kaskazini

Visenti

JF-Expert Member
Jul 24, 2008
1,025
327
Naamini kuna wanaJF walioko Mozambique katika majimbo/maeneo ya PEMBA, CABO DELGADO na NAMPULA, kuna jamaa yangu Mtanzania anataka kuhamia na kuanza maisha huko ktk sehemu nilizozitaja, kwa kupiga box au biashara yoyote, kama kuna wana JF huko au yeyote anayeyajua maeneo hayo, naomba mnipe mwongozo jinsi jamaa atakavyoweza kuhamia na ku-settle huko, mfn requirement muhimu zinazohitajika n.k, nitashukuru kwa mwongozo nitakaoupata.
 
<span style="font-family: century gothic"><font size="3"><font color="#0000CD">Naamini kuna wanaJF walioko Mozambique katika majimbo/maeneo ya PEMBA, CABO DELGADO na NAMPULA, nataka kuhamia na kuanza maisha huko ktk sehemu nilizozitaja, kwa kupiga box au biashara yoyote, naomba mnipe mwongozo jinsi navyoweza ku-resettle huko, requirement muhimu zinazohitajika n.k, nitashukuru kwa mwongozo nitakaoupata.</font></font></span>
<br />
<br />
NiPM kama umedhamiria.
 
Mkuu Mwendabure, kama unaweza kunielekeza anika tu hadharani, itawasaidia na wengine wanaohitaji hizo information.

Naamini kuna wanaJF walioko Mozambique katika majimbo/maeneo ya PEMBA, CABO DELGADO na NAMPULA, kuna jamaa yangu Mtanzania anataka kuhamia na kuanza maisha huko ktk sehemu nilizozitaja, kwa kupiga box au biashara yoyote, kama kuna wana JF huko au yeyote anayeyajua maeneo hayo, naomba mnipe mwongozo jinsi jamaa atakavyoweza kuhamia na ku-settle huko, mfn requirement muhimu zinazohitajika n.k, nitashukuru kwa mwongozo nitakaoupata.

Mkuu, huyo ndugu yako alifanikiwa kuanza maisha huko Moza?
 
Back
Top Bottom