Nataka Kuhamia Canada

BIG STONE AND CONER STONE

JF-Expert Member
Mar 11, 2023
320
495
Kwa ufupi tu Nataka kwenda Kuanzisha Makazi huko Canada.
Kwa Anayejua Gharama za Maisha huko pls toa tips, Nyumba za kuishi bei zake wapi pako poa , wapi eneo kwenye Amani kwa black kuishi, gharama za chakula.
Pia Nawezaje Kuanzisha duka huko hata languo I'li niasiache asili yangu.
Nimewakilisha.
#kama huwahi kuwa Canada Hebu pita mbali staki bla bla za uwongo.
Nahitaji Tangible / Facts
 
Kabla hujaanzisha thread, search Kwanza, hatuwezi kuongea Jambo moja kila siku.

Kwa ufupi tu Nataka kwenda Kuanzisha Makazi huko Canada.
Kwa Anayejua Gharama za Maisha huko pls toa tips, Nyumba za kuishi bei zake wapi pako poa , wapi eneo kwenye Amani kwa black kuishi, gharama za chakula.
Pia Nawezaje Kuanzisha duka huko hata languo I'li niasiache asili yangu.
Nimewakilisha.
#kama huwahi kuwa Canada Hebu pita mbali staki bla bla za uwongo.
Nahitaji Tangible / Facts
Canada sio manzese! Eti kufungua duka la nguo Canada??? Really?? Nchi za watu kuna shopping mall!
 
Kwa ufupi tu Nataka kwenda Kuanzisha Makazi huko Canada.
Kwa Anayejua Gharama za Maisha huko pls toa tips, Nyumba za kuishi bei zake wapi pako poa , wapi eneo kwenye Amani kwa black kuishi, gharama za chakula.
Pia Nawezaje Kuanzisha duka huko hata languo I'li niasiache asili yangu.
Nimewakilisha.
#kama huwahi kuwa Canada Hebu pita mbali staki bla bla za uwongo.
Nahitaji Tangible / Facts
Mtafute G. Lema au mwanachama wowote yule wa CHADEMA.

Lema anazo facts. lol lol 'Alternative facts'
 
Karibu S.t Alberta huku maisha nafuu wazungu wanaishi kisayansi Sana.
 
Kwa ufupi tu Nataka kwenda Kuanzisha Makazi huko Canada.
Kwa Anayejua Gharama za Maisha huko pls toa tips, Nyumba za kuishi bei zake wapi pako poa , wapi eneo kwenye Amani kwa black kuishi, gharama za chakula.
Pia Nawezaje Kuanzisha duka huko hata languo I'li niasiache asili yangu.
Nimewakilisha.
#kama huwahi kuwa Canada Hebu pita mbali staki bla bla za uwongo.
Nahitaji Tangible / Facts
Uamuzi mzuri. Penye Nia Pana njia. Maisha popote. Maisha ya Canada yanahitaji uvumilivu sana, lakini pia hakuna kinachoshindikana. Ni nchi kubwa lakini watu wachache. Uchumi ni mzuri na kazi za kumwaga. Gharama za maisha zinategemea wapi unaenda kuishi, mfano Toronto, Vancouver (Bei ya maisha ghali, haswa bei za nyumba au malazi). Montreal kidogo nafuu. Kufungua biashara unaweza, lakini mpaka utakapopata karatasi za kuishi na kufanya kazi.

Cha muhimu, VISA za Canada zinatoka sana sasa hivi. Vijana wengi wanaingia kila siku. Kazi kwako mwenyewe.
 
Back
Top Bottom