Rutunga M
JF-Expert Member
- Mar 16, 2009
- 1,769
- 1,382
Wapendwa,nimechoshwa na karaha za mtandao wa vodacom ambao nimeutumia tangu mwaka 2000 .
nimekuwa nikipata adha kubwa hasa kama nataka kuwasiliana na wateja wangu walioko nje ya nchi ambao muda mzuri wa kwao wa kuwapata hapa kwetu inakuwa ni kuanzia saa 4:00 hadi saa 8:00 usiku na wakati huu huwezi kupata line ,kisa eti ni huduma za cheka time ambazo ninasababisha mtandao kujam na kutufanya sisi tusiojiunga na cheka time yao kukosa huduma.
kwa siku natumia kati ya sh 20,000 hadi 30,000 kwa kuongea na simu hivyo najiona kama ni mmoja wa wateja wakubwa wa Vodacom,sasa nataka kuwahama niiende mtandao upi ?