Nataka kuhama VODACOM niende mtandao upi ?

Kwa sasa nenda VODA as wamekuwa na rates kama za tigo naona ZAIN wamebaki alone
 
Wapendwa,nimechoshwa na karaha za mtandao wa vodacom ambao nimeutumia tangu mwaka 2000 .

nimekuwa nikipata adha kubwa hasa kama nataka kuwasiliana na wateja wangu walioko nje ya nchi ambao muda mzuri wa kwao wa kuwapata hapa kwetu inakuwa ni kuanzia saa 4:00 hadi saa 8:00 usiku na wakati huu huwezi kupata line ,kisa eti ni huduma za cheka time ambazo ninasababisha mtandao kujam na kutufanya sisi tusiojiunga na cheka time yao kukosa huduma.

kwa siku natumia kati ya sh 20,000 hadi 30,000 kwa kuongea na simu hivyo najiona kama ni mmoja wa wateja wakubwa wa Vodacom,sasa nataka kuwahama niiende mtandao upi ?
Yaani sababu nyingine zinazo tolewa na watoa huduma za mawasiliano hovyo sana ,kwa maana yake wanakupangia muda wa kuwasiliana na watu wako,

Na chakushangaza kama wanajua tatizo ni nini kwanini hawalitatui kusudi wateja wasipate tabu kama hizo …
 
Halotel wapo vizuri, spidi na bei mzuri ya bundle zao, shida zinaisha fasta.
 
Wapendwa,nimechoshwa na karaha za mtandao wa vodacom ambao nimeutumia tangu mwaka 2000 .

nimekuwa nikipata adha kubwa hasa kama nataka kuwasiliana na wateja wangu walioko nje ya nchi ambao muda mzuri wa kwao wa kuwapata hapa kwetu inakuwa ni kuanzia saa 4:00 hadi saa 8:00 usiku na wakati huu huwezi kupata line ,kisa eti ni huduma za cheka time ambazo ninasababisha mtandao kujam na kutufanya sisi tusiojiunga na cheka time yao kukosa huduma.

kwa siku natumia kati ya sh 20,000 hadi 30,000 kwa kuongea na simu hivyo najiona kama ni mmoja wa wateja wakubwa wa Vodacom,sasa nataka kuwahama niiende mtandao upi ?
Karibu Halotel hutajutia
 
Back
Top Bottom