Nataka kuhama Tanzania

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,706
I’m thinking deeply of moving to abroad.....i,m sick and tired of a lot of BS in TZ…..NIMECHOKA….

Kuna mambo ambayo hayawezi kubadilika kwa miaka mingi mpaka wazeee wenye roho mbaya kama Makamba,JK na wenzake wafe,vizazi vyao akina Riz1 wafe na Pia akili za watz wengi mpaka zibadilike…..
nao ndio kidoogo tz kutaanza kuwa sehemu bora kuishi….haiwezekani mimi nilale giza,nipate dawa zilizo expire,nipite kwenye barabara mbaya,huduma kila sehemu mboovu……siwezi kutaja yoote….so
Where would I start?
 
Karibu tuishi Mbagala Charambe, nadhani huku sio Tz maana kila mtu anafanya anavyotaka, karibu mpwa
 
Suluhu si kukimbia nchi, tutabanana hapahapa mpaka kieleweke! Hii nchi sio ya Riz1, JK, Makamba, Chagonja na akina mama Salma kikwete peke yao wafanye wanavyotaka. Tanganyika ni ya watanganyika na Zanzibar ni ya wazanzibar, wanaotudharau leo na kujiona wao ndo kila kitu wajue siku zao zinahesabika.

Uzuri Jenerali ulimwengu alishamuasa Mkwere katika barua yake ndefu ya kwamba " kama hakuna mabadiliko na nia dhati ya kuwasaidia watanzania basi amani tuliyonayo siyo ya kudumu" ni suala la muda tu!
 
I'm thinking deeply of moving to abroad.....i,m sick and tired of a lot of BS in TZ…..NIMECHOKA….

Kuna mambo ambayo hayawezi kubadilika kwa miaka mingi mpaka wazeee wenye roho mbaya kama Makamba,JK na wenzake wafe,vizazi vyao akina Riz1 wafe na Pia akili za watz wengi mpaka zibadilike…..
nao ndio kidoogo tz kutaanza kuwa sehemu bora kuishi….haiwezekani mimi nilale giza,nipate dawa zilizo expire,nipite kwenye barabara mbaya,huduma kila sehemu mboovu……siwezi kutaja yoote….so
Where would I start?
LEARN from yesterday, LIVE for today, and HOPE for tomorrow
 
Ongea na wabeba maboksi watakusaidia mkuu.
Wazo lako zuri sana. tena sana
 
I'm thinking deeply of moving to abroad.....i,m sick and tired of a lot of BS in TZ…..NIMECHOKA….

Kuna mambo ambayo hayawezi kubadilika kwa miaka mingi mpaka wazeee wenye roho mbaya kama Makamba,JK na wenzake wafe,vizazi vyao akina Riz1 wafe na Pia akili za watz wengi mpaka zibadilike…..
nao ndio kidoogo tz kutaanza kuwa sehemu bora kuishi….haiwezekani mimi nilale giza,nipate dawa zilizo expire,nipite kwenye barabara mbaya,huduma kila sehemu mboovu……siwezi kutaja yoote….so
Where would I start?

Njoo Kigali huku mambo bomba na dili nyingi sana
 
Nitafurahi sana ukihama nchi ili tubaki wachache wenye uzalendo na moyo wa dhati wa kuibadilisha nchi hii. Ila chondechonde ukiondoka usirudi maana katika uhalisia kwa uhuru tuliouzoea huko kwingine hakuna.
 
bibi yangu mzaa babu anaishi Finland alikuwa akisaka mume wa kumliwaza upo tayari nikuunganishe nae
 
maaang i aint looking for love....
Nitafurahi sana ukihama nchi ili tubaki wachache wenye uzalendo na moyo wa dhati wa kuibadilisha nchi hii. Ila chondechonde ukiondoka usirudi maana katika uhalisia kwa uhuru tuliouzoea huko kwingine hakuna.

DSC_0440.jpg

ndio uhuru wenyewe huo....
 
Back
Top Bottom