Nataka kuhama Tanzania

acha zako dogo.....im wa here here(wahapa hapa).....

Acha we!

Sasa to cut the chase, mie sipigi box, sijawahi kuruka, na sijawahi hata kupanda ndege achilia mbali kumiliki passport.

Sanasana mbali nilipowahi kufika ni kwa mababu zangu kule Pemba.
 
Karibu tuishi Mbagala Charambe, nadhani huku sio Tz maana kila mtu anafanya anavyotaka, karibu mpwa

MBAGALA+BOMB.JPG
mbagala.jpg

mbagala.bmp

na tunawapenda wanasiasa
Wanachama+wapya+wa+CCM+wakila+kiapo+baada+ya+kutoka+CUF+uwanja+wa+Zakheem,+Mbagala.jpg
 
Acha we!

Sasa to cut the chase, mie sipigi box, sijawahi kuruka, na sijawahi hata kupanda ndege achilia mbali kumiliki passport.

Sanasana mbali nilipowahi kufika ni kwa mababu zangu kule Pemba.
bwa ha ha ha .......huko pemba hujadaka mzungu?
 
Una wazo zuri,ila usiikimbie nchi yako,utaacha wenye damu yako wengi sana,wanapigika hapa.Tushirikiane,tupambane,kitaeleweka tu hata kama tukishafukiwa,watoto na wajukuu zetu wataishi maisha bora zaidi........Na pia maisha si mepesi huko,ni kazi na bills kwa kwenda mbele.:Cry:
 
Dawa si kukimia tatizo. unatakiwa kukabiliana nalo na kutafunta suluhisho. Ingia msituni mzee ukapambane
 
Yo Yo usiwawasikize hao, ukifanikiwa kupata mchongo nistue ntakupa kamisheni. Linchi limelaaniwa hili.
 
Dawa si kukimia tatizo. unatakiwa kukabiliana nalo na kutafunta suluhisho. Ingia msituni mzee ukapambane
Hivi nyie huu ujinga wa Tanzania mnaona sawa?
Nivumilie? Huwezi fanya kitu tz lazima upitie njia za panya,rushwa plus ubabe….hamna halali ri nchi hiri….wenzangu mnafurahia kukaa gizani? Na madudu kibao? Piteni hosptalini muone madudu huko….pata tatizo kimbilia polisi ukitegemea utapata msaada…..utaitwa mwizi,tapeli kila jina ilimradi utoe rushwa….
Watu wamekuwa kama wanyama….
 
Usihame mwaya njoo maneromango huku mafisadi hakuna, upepo mwanana wa kijijini njoo usikimbie si tupo tutakupokea
 
Back
Top Bottom