Only in Tanzania.
Unapanda daladala lakini unataka mlinzi.
What if huyo mlinzi ana usafiri wake binafsi?
Utapanda usafiri wake?
Ungekuwa unatafuta bodgurd wa kumlinda mkeo ningekupa ufafanuzi....sasa wa kukulinda mwenyewe subiri wajuzi waje...
Wewe ni jipu
Niliwahi kuuliza hapa, wale walizi binafei wa wanasiasa haswa wagombea uraisi, mfano yule aliyekuwa akimlinda mama wa ACT, aliyekuwa akimlinda wa Chadema, na wa Ccm, n.k. wale huwa wanakuwa ni usalama wa taifa ama ni binafsi tu wenye leseni? Akijibiwa jamaa hapo, nami mnisaidie kunijuza. Niwie radhi mtoa post kama nimeingilia post yako.
Ahsante!
Huyu jamaa sio wa kule Kagera kweli hahahahaha
Labda nikuadisie kisa cha kweli alichokifanya mtu ambaye nlikuwa na mfahamu.Mimi ni mtumishi wa umma ila junior level.
wpa
Nataka kuajiri armed bodyguard wa kunilinda ila sijajua sheria za utumishia wa umma zinasemaje kuhusu hilo.
Nimejaribu kuzipitia sijaona katazo la mtumishi kua na ulinzi wake binafsi, najua siko entitled na ulinzi wa serikali ila nataka kuajiri mlinzi wangu.
Hiki kipindi cha sikukuu nilicontract kampuni moja ya ulinzi kunilinda, wakanipa kijana ambae ana leseni ya kutembea na bunduki, pisto,
Mkataba wangu na wao umeisha ila nataka kuajiri mlinzi wangu binafsi wa kunilinda muda wote nikiwa kazini, kwenye daladala na hata nyumbani mwenye bunduki.
Najua kuna watu wanajua hayo mambo humu, je ni sahihi au sio sahihi?
Hicho ndo kisaaLabda nikuadisie kisa cha kweli alichokifanya mtu ambaye nlikuwa na mfahamu.
Kuna jamaa mmoja alikuwa anaitwa rama alikuwa anaishi sinza jamaa wazazi wake walimuachiaga mali za urithi jamaa alikuwa anatembea na wamasai kama ndy bodyguard zake....
Hakukua na taratibu zozote alizofata zaidi ya kutumia hela kuwalipa
Na miaka ya nyuma kulikuwa na watu waliokuwa kama mabodyguard kwa wale wenye fedha au Wasani wanaotoka kongo kja ku perform bongo
Mfano walikuwepo wakina Stiba, walikuwepo wakina santana mtoto wa manzese huyu
Wengine majina yamenitoka. ...
Jamaa baada kuwa na fedha alikuwa anatembea na walinzi!pesa ndy ilimtuma achukue uamuzi huoHicho ndo kisaa
Mimi ni mtumishi wa umma ila junior level.
wpa
Nataka kuajiri armed bodyguard wa kunilinda ila sijajua sheria za utumishia wa umma zinasemaje kuhusu hilo.
Nimejaribu kuzipitia sijaona katazo la mtumishi kua na ulinzi wake binafsi, najua siko entitled na ulinzi wa serikali ila nataka kuajiri mlinzi wangu.
Hiki kipindi cha sikukuu nilicontract kampuni moja ya ulinzi kunilinda, wakanipa kijana ambae ana leseni ya kutembea na bunduki, pisto,
Mkataba wangu na wao umeisha ila nataka kuajiri mlinzi wangu binafsi wa kunilinda muda wote nikiwa kazini, kwenye daladala na hata nyumbani mwenye bunduki.
Najua kuna watu wanajua hayo mambo humu, je ni sahihi au sio sahihi?
Sina mke.Huyo mlinzi bora angemlinda mkeo maana ungejua
Sijajua katiba yetu inasemaje kuhusu presidency candidates ila kwa Marekani baada ya Robert F Kennedy kuwa Assasinated wakati wa Kampeni, ilitungwa sheria kuwa Wagombea wote wa Urais watalindwa na Secret service ndani ya siku 180 kabla ya uchaguzi.Niliwahi kuuliza hapa, wale walizi binafei wa wanasiasa haswa wagombea uraisi, mfano yule aliyekuwa akimlinda mama wa ACT, aliyekuwa akimlinda wa Chadema, na wa Ccm, n.k. wale huwa wanakuwa ni usalama wa taifa ama ni binafsi tu wenye leseni? Akijibiwa jamaa hapo, nami mnisaidie kunijuza. Niwie radhi mtoa post kama nimeingilia post yako.
Ahsante!
Ukishateuliwa na tume kuwa mgombea Uraisi serikali inakupa ulinzi binafsi labda ukatae mwenyewe .Wale huwa walinzi wanaotolewa na serikali Kama Ni polisi,jeshi au usalama wa taifa hayakuhusu ila utapewa ulinziNiliwahi kuuliza hapa, wale walizi binafei wa wanasiasa haswa wagombea uraisi, mfano yule aliyekuwa akimlinda mama wa ACT, aliyekuwa akimlinda wa Chadema, na wa Ccm, n.k. wale huwa wanakuwa ni usalama wa taifa ama ni binafsi tu wenye leseni? Akijibiwa jamaa hapo, nami mnisaidie kunijuza. Niwie radhi mtoa post kama nimeingilia post yako.
Ahsante!