Nataka kuajiri body guard, je sheria za utumishi wa umma zinaruhusu?

Only in Tanzania.

Unapanda daladala lakini unataka mlinzi.

What if huyo mlinzi ana usafiri wake binafsi?

Utapanda usafiri wake?
 
Mheshimiwa,
Swali umeuliza kuhusu Bodyguard ni zuri lakini kwa watu wenye muda wa kupoteza na kuwanza ndoto za mchana kama sultani Kipingu.
Bastola unaijua au unaisikia? Sihitaji kukuambia inapatikana vipi lakini mtu mwenyewe kumiliki Bastola anakuzidi kwa kila kitu! Sasa sijui unataka umlipe nini? Akatembeze Bastola yake kwenye Dala dala!......tafakari!!
 
Ungekuwa unatafuta bodgurd wa kumlinda mkeo ningekupa ufafanuzi....sasa wa kukulinda mwenyewe subiri wajuzi waje...

Sijaoa mkuu. Lakini hata kama angekuwepo hilo ningefanya mwenyewe. Nachokitaka sasa ni mlinzi wangu binafsi atakaekua ananilinda popote ntakapokua hata ofisini.

Je ntaruhusiwa kuwa na mlinzi ofusini wakati bosi wangu hana?
 
Niliwahi kuuliza hapa, wale walizi binafei wa wanasiasa haswa wagombea uraisi, mfano yule aliyekuwa akimlinda mama wa ACT, aliyekuwa akimlinda wa Chadema, na wa Ccm, n.k. wale huwa wanakuwa ni usalama wa taifa ama ni binafsi tu wenye leseni? Akijibiwa jamaa hapo, nami mnisaidie kunijuza. Niwie radhi mtoa post kama nimeingilia post yako.

Ahsante!

Usijali mkuu.

Wale wa chadema na ccm na act kipindi cha uchaguzi huwa ni walinzi wa serikali, yaani ni maafisa usalama kutoka kitengo cha ulinzi wa watu muhimu.

Kila chama chenye mgombea uraisi hupewa mlinzi pamoja na mgombea mwenza wake.
 
Mimi ni mtumishi wa umma ila junior level.
wpa
Nataka kuajiri armed bodyguard wa kunilinda ila sijajua sheria za utumishia wa umma zinasemaje kuhusu hilo.

Nimejaribu kuzipitia sijaona katazo la mtumishi kua na ulinzi wake binafsi, najua siko entitled na ulinzi wa serikali ila nataka kuajiri mlinzi wangu.

Hiki kipindi cha sikukuu nilicontract kampuni moja ya ulinzi kunilinda, wakanipa kijana ambae ana leseni ya kutembea na bunduki, pisto,

Mkataba wangu na wao umeisha ila nataka kuajiri mlinzi wangu binafsi wa kunilinda muda wote nikiwa kazini, kwenye daladala na hata nyumbani mwenye bunduki.

Najua kuna watu wanajua hayo mambo humu, je ni sahihi au sio sahihi?
Labda nikuadisie kisa cha kweli alichokifanya mtu ambaye nlikuwa na mfahamu.
Kuna jamaa mmoja alikuwa anaitwa rama alikuwa anaishi sinza jamaa wazazi wake walimuachiaga mali za urithi jamaa alikuwa anatembea na wamasai kama ndy bodyguard zake....
Hakukua na taratibu zozote alizofata zaidi ya kutumia hela kuwalipa
Na miaka ya nyuma kulikuwa na watu waliokuwa kama mabodyguard kwa wale wenye fedha au Wasani wanaotoka kongo kja ku perform bongo
Mfano walikuwepo wakina Stiba, walikuwepo wakina santana mtoto wa manzese huyu
Wengine majina yamenitoka. ...
 
Hicho ndo kisaa
 
Mimi ni mtumishi wa umma ila junior level.
wpa
Nataka kuajiri armed bodyguard wa kunilinda ila sijajua sheria za utumishia wa umma zinasemaje kuhusu hilo.

Nimejaribu kuzipitia sijaona katazo la mtumishi kua na ulinzi wake binafsi, najua siko entitled na ulinzi wa serikali ila nataka kuajiri mlinzi wangu.

Hiki kipindi cha sikukuu nilicontract kampuni moja ya ulinzi kunilinda, wakanipa kijana ambae ana leseni ya kutembea na bunduki, pisto,

Mkataba wangu na wao umeisha ila nataka kuajiri mlinzi wangu binafsi wa kunilinda muda wote nikiwa kazini, kwenye daladala na hata nyumbani mwenye bunduki.

Najua kuna watu wanajua hayo mambo humu, je ni sahihi au sio sahihi?

Umeskika mtumishi.hiv nauli ya daladala bado 400?
 
Niliwahi kuuliza hapa, wale walizi binafei wa wanasiasa haswa wagombea uraisi, mfano yule aliyekuwa akimlinda mama wa ACT, aliyekuwa akimlinda wa Chadema, na wa Ccm, n.k. wale huwa wanakuwa ni usalama wa taifa ama ni binafsi tu wenye leseni? Akijibiwa jamaa hapo, nami mnisaidie kunijuza. Niwie radhi mtoa post kama nimeingilia post yako.

Ahsante!
Sijajua katiba yetu inasemaje kuhusu presidency candidates ila kwa Marekani baada ya Robert F Kennedy kuwa Assasinated wakati wa Kampeni, ilitungwa sheria kuwa Wagombea wote wa Urais watalindwa na Secret service ndani ya siku 180 kabla ya uchaguzi.
 
Niliwahi kuuliza hapa, wale walizi binafei wa wanasiasa haswa wagombea uraisi, mfano yule aliyekuwa akimlinda mama wa ACT, aliyekuwa akimlinda wa Chadema, na wa Ccm, n.k. wale huwa wanakuwa ni usalama wa taifa ama ni binafsi tu wenye leseni? Akijibiwa jamaa hapo, nami mnisaidie kunijuza. Niwie radhi mtoa post kama nimeingilia post yako.

Ahsante!
Ukishateuliwa na tume kuwa mgombea Uraisi serikali inakupa ulinzi binafsi labda ukatae mwenyewe .Wale huwa walinzi wanaotolewa na serikali Kama Ni polisi,jeshi au usalama wa taifa hayakuhusu ila utapewa ulinzi
 
Back
Top Bottom