Ramthods
JF-Expert Member
- Jun 2, 2009
- 515
- 186
Natafuta web designer anayefahamu vizuri vitu vifuatavyo:
1) HTML,
2) CSS
3) JavaScript
4) PHP (Sio lazima sana)
Kazi kubwa ni kuweza kubadilisha mocked up design (in png, psd) kwenda kwenye Html.
Awe anafahamu kutumia jQuery library vizuri na uelewa mzuri wa CSS 2 - 3.
Awe na uwezo wa kudesign HTML + CSS web pages zitakazoonekana sawa kwenye browser zote. (cross browser compatible)
Umri usizidi miaka 25. Tafadhali usitume maombi kama una umri zaidi ya hapo.
Kama bado ni mwanafunzi tunaweza angalia jinsi ya kufanya kazi ikiwa utakuwa na mda na commitment.
Jinsi ya kutuma maombi.
Tafadhali ni PM, ukiambatanisha na reference za kazi ulizofanya.
NB: Napenda kufanya kazi na vijana chipukizi, wenye moyo wa kujifunza na kujituma katika kazi.