Apr 12, 2020
13
19
Ndugu habari!

Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume mtumba mikoani.

Nina bidhaa za nguo za đź‘– jeans suruali, t-shirt ,na pia trak juu na chini.. (GRADE A) bei nafuu tu nipo maeneo ya Tabata segerea
Mawasiliano 0744644627
0622531099
Hata pia kwa ulieko Dar Es salaam ni vizuri zaidi, jipatie bidhaa kwa bei poa ya jumla.

Nataka nibadilishe biashara, so mzigo upo store
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom