Natafuta Toyota Hiace Supperoof Engene 3L au 5L

Merisho

Member
Oct 29, 2013
10
3
Natafuta Toyota Hiace Supperoof Engene 3L au 5L iliyo katika Hali Nzuri ya Body na Engine.

Body ndio kipaumbele cha kwanza iwe Haijagongwa wala kupata ajali kubwa(sio michubukoo midogo)

Nahitaji Zaidi Namba "B" au namba "C" Hata kama Namba "D" itapatikana ni Vizuri zaidi.

Kama Kuna Namba "A" ambayo ni Nzuri Basi iwe Haijafanya Kazi za Biashara( abiria au Mashuleni)

Mwenye Nayo awasiliane na Mimi Kwaaajili ya Taarifa zaidi

Nitanunua Kwa bei nzuri kadiri itakavyowezekana.
 
Yard zipo... na kama hutaki za Yard Nenda pale kona ya kwena Kiwalani Yombo au Vingunguti upande wa pili zimejaa tele ukiuliza kununua unauziwa fasta bei Chee
 
Du!! Kumbe kuna yard za uswazi.
 
Okey nimewaelewa. Ula nimeweka hapa kupunguza watu wa kati. Madalali. Ili kama kuna mwana jamvi anayo au ndugu yake itapunguza
 
Natafuta Toyota Hiace Supperoof Engene 3L au 5L iliyo katika Hali Nzuri ya Body na Engine.

Body ndio kipaumbele cha kwanza iwe Haijagongwa wala kupata ajali kubwa(sio michubukoo midogo)

Nahitaji Zaidi Namba "B" au namba "C" Hata kama Namba "D" itapatikana ni Vizuri zaidi.

Kama Kuna Namba "A" ambayo ni Nzuri Basi iwe Haijafanya Kazi za Biashara( abiria au Mashuleni)

Mwenye Nayo awasiliane na Mimi Kwaaajili ya Taarifa zaidi

Nitanunua Kwa bei nzuri kadiri itakavyowezekana.

Ninayo van, engine 3L naitumia mwenyewe, namba ni A imetembea km 142,670, Rangi iliyokuja nayo, sijaweka siti. Ni manual transmition.. 100_3744.JPG Kama vipi tufanye biashara
 
Ninayo van, engine 3L naitumia mwenyewe, namba ni A imetembea km 142,670, Rangi iliyokuja nayo, sijaweka siti. Ni manual transmition..View attachment 192177Kama vipi tufanye biashara

attachment.php

Hivi hizi zafaa kwa Biashara? nadhani kwa School bus ni poa ila watu wazima pinda migongo sana... ila kwa sehemu zenye shida ya usafiri ni poa Weka bei Mkuu tujipime
 
Merisho,hembu weka offer yako hapo.
Ukikosa Njoo Zanzibar,zipo za kumwaga,hakuna Dalali hapo nakuunganisha na wahusika moja kwa moja.
Ukitaka used kizanzibari au used ki Dubai kwenye showroom
 
Sawa kaka. Mil 15 nadhani ntapata gari nzuri.
 
Tatizo usafiri,maana kusafirisha na kulipa ushuru upya kwa ile difference itabidi hapo zikutokea milioni kadhaa nyingine.
Bei hiyo utapata gari iliyotumika hapa ndani ya mwaka Mmoja.
 
attachment.php

Hivi hizi zafaa kwa Biashara? nadhani kwa School bus ni poa ila watu wazima pinda migongo sana... ila kwa sehemu zenye shida ya usafiri ni poa Weka bei Mkuu tujipime

Zinafaa ila mimi sjawahi kufanyia biashara..naanza na 15. Maongezi yapo. kama upo serious ni pm.
 
Mmmh Mkuu bei hiyo kwa gari lenye Namba A? Nikiagiza hapo napata Hiace New Model zile pana kwa bei hiyo.. Sorry Mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom