Natafuta gari Toyota Harrier au Suzuki Escudo

malimingiii

JF-Expert Member
Nov 20, 2013
967
1,328
Natafuta kati ya gari mbili

Toyota Harrier iwe
engine type - 2AZ ~4WD
Model type - CBA ~ACU 35W
Mwaka - 2003 kuendelea

Au

Suzuku Escudo
Engine - J20A
Model type - LA~TL52W
Mwaka - 2001 kuendelea

Anayeuza kati ya hizo gar mbili tuwasiliane kwa namba 0717 600 290

*Badget yangu haizid 14M*
 
Kuna Harrier ya 2000, LEXUS specs 4W ina karibia 128000km, tatizo bei jamaa hashuki 16,000,000
Ukiihitaji nimjuze mshua ailete dar mwishoni mwa mwezi huu uione. kuona ni buree.
Anaitumia kwenda kazini na kurudi, ni mkoani hivyo bado ipo nzima
 
Asante mkuu.. hiyo bei sitaiweza boss labda kama mazungumzo yangekuwepo
 
Asante mkuu.. hiyo bei sitaiweza boss labda kama mazungumzo yangekuwepo
Mazungumzo labda yawe ya kupandisha bei, soma comment #4 (utani)
Kwa bei hiyo, kwa ajuaye magari sidhani kama angehitaji mazungumzo, kwa wewe umekili kuwa huiwezi basi endelea kuatafuta
Kila la kheri
 
Natafuta kati ya gari mbili

Toyota Harrier iwe
engine type - 2AZ ~4WD
Model type - CBA ~ACU 35W
Mwaka - 2003 kuendelea

Au

Suzuku Escudo
Engine - J20A
Model type - LA~TL52W
Mwaka - 2001 kuendelea

Anayeuza kati ya hizo gar mbili tuwasiliane kwa namba 0717 600 290

*Badget yangu haizid 14M*
Ipo na sifa zote kasoro 2WD, namba DDV KM 114000, haina shida yoyote, bei 13,500,000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom