kindoki JF-Expert Member Sep 17, 2018 213 218 Jun 27, 2019 #1 Wadau, nipo kwenye mchakato natafuta gari toyota ist iwe namba C au D, kwa aliye serious anichek WhatsApp no 0758204681
Wadau, nipo kwenye mchakato natafuta gari toyota ist iwe namba C au D, kwa aliye serious anichek WhatsApp no 0758204681
Asprin JF-Expert Member Mar 8, 2008 68,015 95,378 Jun 27, 2019 #2 kindoki said: Wadau, nipo kwenye mchakato natafuta gari toyota ist iwe namba C au D, kwa aliye serious anichek WhatsApp no 0758204681 Click to expand... Una shingapi bajeti yako kiongozi? Unataka uendeshe mwenyewe au kuhonga?
kindoki said: Wadau, nipo kwenye mchakato natafuta gari toyota ist iwe namba C au D, kwa aliye serious anichek WhatsApp no 0758204681 Click to expand... Una shingapi bajeti yako kiongozi? Unataka uendeshe mwenyewe au kuhonga?
Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member Apr 22, 2012 15,118 16,471 Jun 27, 2019 #3 Zungumzia na bajeti yako tukupatie gari saafi ukahonge.
Uchira 1 JF-Expert Member Oct 9, 2017 5,383 7,570 Jun 27, 2019 #4 Note gari ikitoka Zbar ikija huku inapata usajili namber D so take care mkuu, naamini umenielewa