Natafuta sales software

wepson

JF-Expert Member
Mar 31, 2014
831
217
Habari wakuu
Nina SHIDAH NA sales software AMBAYO naweza register products , tengeneza quote , delivery note. NA invoice
Naombeni msaada
 
mbali na yote hayo inategemea pia biashara yako ipo katika level gani, maana software hizo nyingi zinatolewa kutokana na level ya biashara though zipo zinazocover small bussiness to large business. ila kwa kuanzia kama ni biashara ndogo tafuta za level hiyo.
mfano express account trial
 
je biashara yako itahusisha eneo zaidi ya moja, na sehemu zote zitahitaji kuunganishwa katika mfumo mmoja? au ni eneo moja tuu la biashara
 
Habari wakuu
Nina SHIDAH NA sales software AMBAYO naweza register products , tengeneza quote , delivery note. NA invoice
Naombeni msaada
Mkuu kuna software inaitwa Vision8 for sales and inventory management, imetengenezwa na kampuni (Exact software Limited) ya wazungu waliopo nchini Tanzania, hiyo itakusaidia kwa kila kitu kwani they are developers of their software in case kama utahitaji any customization. Waweza watafuta kupitia google au nichek pm nikupe mawasiliano yao, binafsi naitumia software yao kwenye sales records zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna software inaitwa Vision8 for sales and inventory management, imetengenezwa na kampuni (Exact software Limited) ya wazungu waliopo nchini Tanzania, hiyo itakusaidia kwa kila kitu kwani they are developers of their software in case kama utahitaji any customization. Waweza watafuta kupitia google au nichek pm nikupe mawasiliano yao, binafsi naitumia software yao kwenye sales records zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
je biashara yako itahusisha eneo zaidi ya moja, na sehemu zote zitahitaji kuunganishwa katika mfumo mmoja? au ni eneo moja tuu la biashara
eneo moja tu
 
Mkuu kuna software inaitwa Vision8 for sales and inventory management, imetengenezwa na kampuni (Exact software Limited) ya wazungu waliopo nchini Tanzania, hiyo itakusaidia kwa kila kitu kwani they are developers of their software in case kama utahitaji any customization. Waweza watafuta kupitia google au nichek pm nikupe mawasiliano yao, binafsi naitumia software yao kwenye sales records zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
njoo mwanangu inbox tuongee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom