natafuta rafiki wa kiume wa ukweli

​Nadhani wewe ma jery siyo mfanyabiashara. Wafanya biashara wanajua biashara ni matangazo, lakini wewe hukutuambia sifa zako! Au unadhani wanaume hawana uhuru wa kuangalia sifa na kufanya uchaguzi?
 
Safi sana, mimi criteria zote hapo juu ninazo, nakuahidi ninazo ila tu moja nikosa na sijui umhim wake hiyo kwako namaanisha ya kuwa dar. Ebu nigongee kwenye line hapa +93797169378. Nkungoja
 
inaonyesha wewe dada umekaa kifedha zaidi huna mapenzi ya kweli,hebu zungukia maboss nadani watakufaa zaidi
 
Dada km niko financially stable then cna true love utanikubali? maanake inaonesha uko kifedha zaidi.
 
Hongera dada kuwa muwazi, mie nipo tayarikuwa rafiki yako wakushauriana. Mimi mtu wa arusha i hope na meet vigezo vyako kubagua wahaya sikjui kwanini, jibu unalo mwenyewe. Sas tuwasiliane vipi mimi nipo dar, mtumishi wa umma umri wangu miaka 30 bado single.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom