Natafuta Projector ya kuonyeshea Mpira

Mchana

Senior Member
Sep 27, 2007
183
16
Wakuu naomba mnijulishe mahala ninapoweza kununua kwa bei nzuri projector kwa ajili ya kuonyeshea mpira. Pia naomba ushauri kwa wale wenye uzoefu, ni Projector gani nzuri kwa picha pamoja na bei ya kuridhisha?
 
Wakuu naomba mnijulishe mahala ninapoweza kununua kwa bei nzuri projector kwa ajili ya kuonyeshea mpira. Pia naomba ushauri kwa wale wenye uzoefu, ni Projector gani nzuri kwa picha pamoja na bei ya kuridhisha
Epson,tuwasiliane
 
Wakuu naomba mnijulishe mahala ninapoweza kununua kwa bei nzuri projector kwa ajili ya kuonyeshea mpira. Pia naomba ushauri kwa wale wenye uzoefu, ni Projector gani nzuri kwa picha pamoja na bei ya kuridhisha?
mambo vp mkuu,ulishafanikiwa kupata projector?
 
Back
Top Bottom