Baba Matatizo
JF-Expert Member
- May 5, 2011
- 334
- 64
Habari wana JF?natafuta PC ya shing laki mbili.angalau iwe gb 80 na ram 512.mwenye nayo anijuze!
Nataka ya kwangu wakuu!NAOMBENI contacts za sehemu ambapo zinapatikana.Kwa kuwa hapa kwa wana technologia natumaini nimefika kwenyewe!ya kwako mkuu ama ya watoto kujifunzia typing? utapata but with very low spec ambazo haziendani na mambo mengi ya sasa
ongeza 50000 hapo utapata na crt monitor, tembelea maduka ya used computer kkoo
Habari wana JF?natafuta PC ya shing laki mbili.angalau iwe gb 80 na ram 512.mwenye nayo anijuze!
Kama unataka very basic pc kama hiyo utapata tu bana-hata mbuyu ulianza kama mchicha! Nakupm namba ya jamaa mmoja sasa hv (usishanga sana lugha ya anayoongea! teh teh )
Duh hizi bado ziko,me najua haziexist tena!!nina pentium1 ram 128 mb hard disk 5gb, itakufaa sana.