Ndugu,
Hebu nielekezeni mji wowote au mtaa wowote hapa nchini, ni wapi wanauza au kuchoma nyama ya kondoo.
Najua Vingunguti kunauzwa Mbuzi na sasa hiv X-mass iko karibu hakukaliki. Bucha nyingi zinajulikana kwa nyama ya ng'ombe.
Lakini kondoo sijawahi kusikia.
Niisaidieni. Nina hamu naye nilimla mojmba aliponichinjia nilipoenda kijijini kumtembelea utotoni.