Natafuta mwanaume wa kuishi nae

Sijapata. kuna watu tatu (possibly nne) wako interested,
kinacho fata ni site visit, waone na waridhike na wanachokiona
Then makubaliano. Wewe uko interested?
Why not???
But only if my terms and conditions acceptable!
 
aah mkuu Judgment... Please iache ile saga... Maana ishapita...
Let's be friends..

Pa m o k o , haya endelea kupigapiga story na Shemejio Husny , mie naendelea na ka'tamthilia kangu nakafatilia , midamida nitamfata kumchukua , hizi siku za mvuamvua tunambonjigi mapema .
 
Ndevu natoleaga saluni Mwali...

Nielekeze mi natakiwa nikupe pounds ngapi in sum,sitaki assortment,we niambie nachangia sh ngapi,nikupe lump sum,tusisumbuane katikati ya wiki sijui mwezi..
Ni 412 pounds kwa mwezi mkuu, due on the 5th of the month (unalipa in advance)
Pia Mwali,
nieleze hobbies zako...
Napenda guitar, star hunting, ridding a bicycle on sunny days,
readding books na traveling the world with a back pack.
Vyote napenda kufanya peke yangu.
Kitu unaweza kufaidi toka kwangi ni kwamba I love gardening and cooking.
 
@ Mwali kwa nini hutaki mwenye aliyeoa? Kama yuko mbali na mkewe je?
Wake wa ndoa wanakua so possessive, wakija home watajifanya wenyeji
Pia wanakua insecure sana kuliko girlfriend, atanisushia kua natembea na mumewe.
Halafu wanaume wa ndoa watashindwa kuchangia tukiamua kualika surprise party
mara watoto wanaumwa, mara anajenga nyumba kijijini kwa mkewe aaagggrrrr
 
In fact nilikua nakusubiri. Itakua sawa kama unaweza kuhama from popote ulipo
Hapa imagine utaendelea kua BG, deskmate, na pia roommate. Three in one
Acha nikabebe mabegi yangu, nichukue boxers ngapi?
 
B52 ! Abiria pwani Babaa,
Chale chejja! Mwenda tezi na omo marejeo ngamani .
Dah kweli hii misemo yako inaashiria ulinzi mkali...
Hata mimi nawasaidia sana kwenye kuhakiki usalama wa shemeji zangu maana kuna watu nawajua macho yao yako juu juu sana....
Ila wangu simuoni tangu mida flani...sina raha
 
Back
Top Bottom