Natafuta mwanaume wa kuishi nae

nzuri trach, habari ya wewe ndugu?

My Wife hali ? Pole na uchovu wa kutwa!
Nawakumbushia tu jamaa jamaa wanaokusalimia.
Wakikusalimia mara 1 , kwenye Thread 1 inatosha,
hii maneno ya kukusalimia mara mbilimbili kwenye same Sread , waambie mwenyewe hataki, kaweka limit !
S a w a s a w a ?
 
Hivi JG nani atamtaka mkeo na kitumbo chake???
Ila nimemmiss sana...
Hi..Husninyo...
 
Ndio hivo, strictly no pussy. But I hope you like dogs
Nimepanga kununua mbwa. atalala ndani sebuleni

As long as sanitation na mambo ya chanjo ya huyo dog unaweza kuyashughulikia vizuri hakuna taabu na mimi napenda mbwa tena akiwa St.Benard saaafi!! Ila aki-'poop' hovyo itabidi umnunulie pampers..
No pussy b'ness just a tamed dog.
 
Kila kitu safi mkuu, usiwe na wasiwasi kabisa.
Mbwa mwenyewe namnunua kwa mnada hapa
 
Loh.. Haya..
Anyway,nipigie debe kwa Mwali si unaona huo mchuano..?

Alafu Trac, refar kule kwenye Thread yako ya "Wimbo wa zamani" hukunitendea fairplay, nimekupa wimbo wa KIPANDE CHA PAPA ukaniambia wa juzijuzi , mi najua ulikua kimzaha zaidi, hicho kitu ni cha Atomic Jazz !
Atomic ya juzi ?
 
Hahahahaha, pole sana. Ukute yeye kausikia majuzi tu hapa!
 
Alafu Trac, refar kule kwenye Thread yako ya "Wimbo wa zamani" hukunitendea fairplay, nimekupa wimbo wa KIPANDE CHA PAPA ukaniambia wa juzijuzi , mi najua ulikua kimzaha zaidi, hicho kitu ni cha Atomic Jazz !
Atomic ya juzi ?

aah mkuu Judgment... Please iache ile saga... Maana ishapita...
Let's be friends..
 
Hivi JG nani atamtaka mkeo na kitumbo chake???
Ila nimemmiss sana...
Hi..Husninyo...

B52 ! Abiria pwani Babaa,
Chale chejja! Mwenda tezi na omo marejeo ngamani .
Ukichekacheka na mnyama mlinzi atakufata hadi......
Usipoziba nyufa..... Ndiyo maana nahakiki nadhibiti hata mianya ya next year ! Kama sina akili nzuri .
Kipya kinyemi .
 
Yes si unatafuta roommate mwanaume?
Yaani bwana?sasa nataka kujua kama ushalipata hilo li roommate aka bwana?
Sijapata. kuna watu tatu (possibly nne) wako interested,
kinacho fata ni site visit, waone na waridhike na wanachokiona
Then makubaliano. Wewe uko interested?
 
Back
Top Bottom