Natafuta mwanaume mwenye malengo ya ndoa

mbona huna spirit ya uvumilivu?
Kwa nini hujiamini?!.
Nlishawahi kuona post kama hii ulitaka mtu mwenye umri wa z aidi ya miaka 40 (nadhani ulikuwa unatafuta sugerdaddy).

Umri wako miaka 22, na unajipambanua kuwa ni determinant woman.
Unahofia nini wakati unajishughulisha?, kila jambo lina wakati sahihi. Bado upo na muda wa kusubiri huku unaiandaa future yako.

Ndoa sio mahusiano rahisi, sio biashara, sio ubaguzi kama uliouweka hapo ktk post yako. Ndoa ni zaidi ya unavyodhani, ndoa ni mkataba wa upendo.
KUWA NA SUBIRA.
Maisha Ni kuchagua Kaka yangu. Siku njema
 
Namba 5 Mbona unatutenga kwa nn
Kwasababu iliyopo nnje ya uwezo wangu... Hawa watu nimeishi nao hapana aisee hasira zao sijui ni asili hapana siwez ..

Mwanaume ni kama mtoto adekezwe, mke anasimama na mengi... Muda mwingine anakua mshauri kwa mambo ya maendeleo, Muda mwingine kama mama,,as binadamu tunapitia mengi.. Muda mwingine kama mpenzi ndo Yale ya kufeel upendo... Hawa viumbe kwao sheria moja mke mke tu......
 
Mwanamke kwetu Wajita na wakurya anabakia kuwa mwanamke Tu, unataka mwanaume akufanyie nn tena if you're given everything in your life that deserve to be given. Mapenzi na Ndoa za Kwenye Tamthilia za Philippines Ukuryani Ama ujitani hatuna sisi.
Though you can find that umeolewa na mwanaume msomi na muelewa but still lazima ubakie kuwa mwanamke kiumbe kisichoaminika siku zote kiumbe ambacho Ni pretender WA Kila kitu and very hypocrite one atakifanya mpole kumbe jeuri kama nini .
Samahani Kwa Wamama I know you there, fighting for your kids as My Mama did, to raise us, took us to school from 0-1 but though daddy was jeuri na Matabia ya kiume but ukimsikiliza mama na wote wawili lazima uone utata upande Fulani hv Haaa Haaa UKIKOSEA KUOA UMEOLEWA MEN WE SHOULD BE MORE KEEN WITH WOMEN OVER.
 
Sifa Zangu
Jinsia Yangu KE, Miaka 22, Naishi Dar Es Salaam... Nina umbo la wastani/urefu wa wastani, Rangi ya chocolate, Ni mjasiliamali na pia najiendeleza kielimu, sina mtoto,. Ni Mkwel na Mcha Mungu, Mkristo, Nina Akili Ya Maisha, Ni Muelewa na Nipo makini sana hasa kwenye mambo ya maendeleo, ninajali na nina heshima, nimefunzwa vizur kwetu, mengine tutafahamiana PM

Sifa Za Anaetakiwa
1.Miaka 28 na kuendelea
2.Awe Mkristo
3.Asiwe Mweusi Wala Mfupi
4.Awe na kazi maalumu ya kueleweka inayomuingizia kipato
5.Usiwe Mkurya wala Mjita
6.Usiwe Mme Wa Mtu (I want a free man to build future with)
7.Awe Muelewa, Mpole na anaejielewa anahitaji nini katika maisha.
8.Ukiwa na mtoto sio tatizo

Kama ni kwel upo serious na una hitaji mke ili muyajenge maisha pamoja, na unakidhi sifa hizo hapo juu, ni PM tufahamiane zaidi.... Mbarikiwe.
Jion njema.
 
wanawake wadar hamkomi tu ndoa ndoano
 
22 yrs unaitaka ndoa. Still young. Ungefikisha hata 25 ndio uanze mchakato. Watu wanalia kila siku humu..huwaoni? Kila la kheri..utampata!
Ungejishauri kwanza wewe serikali yake ni kichwa chake mwenyewe..! Imoral girl mama wewe ukome maliza yako kwanza.
 
MimiT@ miaka sio tatizo... Ikiwa tayari ninajielewa na najua ni nini nataka maishani mwangu.. Ninaweza kumpenda na kumuheshimu mme wangu... Kwa wanaolia aidha ni kasoro chache chache za wenza wao... Hakuna binadamu asie kasoro
Kweli unajifahamu mdada ndoa bhana ni wewe unavyoichulia, hakuna formula kwenye maisha ya ndoa mazingira yata determine how to survive in yr married.

Afu mjue issue ya kazi ni kigezo kidogo mno cha msingi pata mtu anayeelewa maana ya ndoa. Mengine mtabarikiwa tu Mungu wetu ni mwema.
 
Dada yangu kwa hio age bado sana angalau ungefikisha 25 angalau kidogo bado akili yako ya kukaa Na mume ndoa sio mchezo Mdogo wangu kuna watu wanatamani kutoka sasa wewe unachokitafuta utakipata
 
Kha! Kumbe huyu dada ni mzungu? Hivi hajui kama yeye anaitwa blackwoman? Waswahili kweli tumelaaniwa.

1461317235682.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom