Natafuta mwanamke hasiye na uwezo wa kuzaa tafadhari hii ni serious

tafakari kali

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
211
39
Habari,

Mimi ni kijana Mtanzania,mbena wa Iringa. Natafuta mwanamke asiyezidi umri wa miaka 31 lakini ambaye hana uwezo wa kuzaa(tasa) mimi tayari nina watoto wawili na kwa bahati mbaya siishi na mzazi mwenzangu kutokana na sababu ambazo siwezi kuzielezea hapa.

Awe ama ni mfanyakazi au mwenye uwezo wa kujishughulisha hata kama hana mtaji ili hasiwe mama wa nyumbani tu.

Mimi ni mfanyakazi mwajiliwa serikalini.
Tafadhari kwa ambaye atasikia tangazo ili na kuhitaji kuwasiliana basi ani PM na kunitumia na picha yake.
 
Habari, mimi ni kijana Mtanzania,mbena wa Iringa. Natafuta mwanamke asiyezid umri wa miaka 31 lakin ambaye hana uwezo wa kuzaa(tasa) mimi tayari nina watoto wawili na kwa bahati mbaya siishi na mzazi mwenzangu kutokana na sababu ambazo siwezi kuzielezea hapa. Awe ama ni mfanyakazi au mwenye uwezo wa kujishughulisha hata kama hana mtaji ili hasiwe mama wa nyumbani tu. Mimi ni mfanyakazi mwajiliwa serikalini.
Tafadhari kwa ambaye atasikia tangazo ili na kuhitaji kuwasiliana basi ani PM na kunitumia na picha yake.

wewe tafuta single mother ndio atameet ur demand.

cc: Kongosho kwa ushauri elekezi.
 
Last edited by a moderator:
Habari, mimi ni kijana Mtanzania,mbena wa Iringa. Natafuta mwanamke asiyezid umri wa miaka 31 lakin ambaye hana uwezo wa kuzaa(tasa) mimi tayari nina watoto wawili na kwa bahati mbaya siishi na mzazi mwenzangu kutokana na sababu ambazo siwezi kuzielezea hapa. Awe ama ni mfanyakazi au mwenye uwezo wa kujishughulisha hata kama hana mtaji ili hasiwe mama wa nyumbani tu. Mimi ni mfanyakazi mwajiliwa serikalini.
Tafadhari kwa ambaye atasikia tangazo ili na kuhitaji kuwasiliana basi ani PM na kunitumia na picha yake.

Walahi hawa waganga watatumaliza mwaka huu....afadhali lakini nao albino wapumue jamani.
 
Atakayesikia Tangazo hili amjulishe na mwenzake,nyote mnakaribishwa.
 
acha dharau

unahisi alie andika post yake hana akili ama? sipendi hizi kejeli sana . Mtu anashida yupo siliaz then unaweka kejeli!!
sio lazima kucoment
ninawasiwasi na hilo tarizo mkuu kama vip ni pm tukatest guest tuondoe utata wa wasiwasi nahisi kwene machine kuna katatizo sio hivi hivi
 
Du japo kaka wasema sio lazima kukomenti samaha ni kidogo nivumilie niweke haka kakomenti kangu kwa maana nimecheka sana kwa kusema anatafuta mwanamke HASIYE na uwezo wa kuzaa badala ya ASIYE na uwezo wa kuzaa. Moja kwa moja kanikumbusha kule kwa akina Njomba badala ya mjomba Ntonto badala mtoto Ntu badala ya mtu huko kwetu Ntwara
 
Kwa nini usitafute mwenye watoto kama wewe ambaye naye hana mume ili msaidiane kulea watoto wenu? Au unaogopa kusingiziwa watoto?

Mtazamo tuuuuuuuuuuu!
 
Habari,

Mimi ni kijana Mtanzania,mbena wa Iringa. Natafuta mwanamke asiyezidi umri wa miaka 31 lakini ambaye hana uwezo wa kuzaa(tasa) mimi tayari nina watoto wawili na kwa bahati mbaya siishi na mzazi mwenzangu kutokana na sababu ambazo siwezi kuzielezea hapa.

Awe ama ni mfanyakazi au mwenye uwezo wa kujishughulisha hata kama hana mtaji ili hasiwe mama wa nyumbani tu.

Mimi ni mfanyakazi mwajiliwa serikalini.
Tafadhari kwa ambaye atasikia tangazo ili na kuhitaji kuwasiliana basi ani PM na kunitumia na picha yake.

Mimi naingiwa na hofu kwa walio wengi na waliocomment.

Naomba niulize swali huyu jamaa mwenye ombi anadhambi gani mfano akipata mwanamke tasa akampa heshima yakutambulika kisheria kama mwanandoa na akamjali kama mke na kuishi nae kama familia 1?.

Hivi ukiwa ujazaa bado badae ukaja kugundua huwezi na hautakaa uzae lakini unatamani kuwa na familia yako binafsi utajisikiaje, ususani unaposoma komenti za kubeza namna hii?

Kaka huyu kaamua kuondoa ukiwa na uchungu kwa mgumba mmoja na familia yake na kumpa familia, ina wauma nini?

Kacheza na saikolojia kajua mtu wa hvyo anaweza kua na mapenzi na familia yake tofauti na mtu aliye na watoto wake nyie mnamponda kwanini?

Brother utapata najua wapo wengi ila usiache kumheshimu kama mkeo na kumpa furaha maana hiyo ndio switch ya kuunganisha damu yake na wanao ktk upendo.

WATANZANIA TUJENGE FIKRA NA UPENDO KUBAGUANA HAITATUFIKISHA POPOTE.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom