Natafuta mume msomi mwenye miaka kuanzia 40.

Uzi ule wa kimajungu majungu ya jf, mtu hana hata facts assumptions nyingiii. Mie pia UVCCM na huyo bwana namfahamu fika.

Tukirudi kwa mada, ticha huo upeondo wewe uliubahatisha tu, ila haupo. Ndoa saivi ni kusettle ama kuzidiana akili tu, ukisubiria upendo huo, utangoja sanaaa. Mapenzi ya kweli hamanaaaaa! Ukiona mtu yupo na mtu mjini hapa basi kuna kitu lazimaaa. Mimi kati ya watu wote wanaoolewa rika langu, sijaona true love hata ya kuvuta na manati. Mostly unakuta msichana kajinasisha anangangania aolewe, bwana anakubali shingo upande. Au kaka kamuona dada anajiweza basi ndo anajiweka jumla jumla.

Huyu bi dada mkomavu kaona yoteeee! Ndo maana ataka kusettle na mtu so as life to go on, watajifunza kupendana humo humo ndoani.

so, now she is payin the cost of forcing that love enh!
 
All ze best, mume mwema utapewa na Mungu. Kuwa makini, mshirikishe sana Mungu.
 
Uzi ule wa kimajungu majungu ya jf, mtu hana hata facts assumptions nyingiii. Mie pia UVCCM na huyo bwana namfahamu fika.

Tukirudi kwa mada, ticha huo upeondo wewe uliubahatisha tu, ila haupo. Ndoa saivi ni kusettle ama kuzidiana akili tu, ukisubiria upendo huo, utangoja sanaaa. Mapenzi ya kweli hamanaaaaa! Ukiona mtu yupo na mtu mjini hapa basi kuna kitu lazimaaa. Mimi kati ya watu wote wanaoolewa rika langu, sijaona true love hata ya kuvuta na manati. Mostly unakuta msichana kajinasisha anangangania aolewe, bwana anakubali shingo upande. Au kaka kamuona dada anajiweza basi ndo anajiweka jumla jumla.

Huyu bi dada mkomavu kaona yoteeee! Ndo maana ataka kusettle na mtu so as life to go on, watajifunza kupendana humo humo ndoani.
lara 1 mara nyingine inabidi utengeneze mazingira ya kupendwa ama niite ya upendo. usitegemee ukute upendo uko tayari ready made. unapotengeneza upendo unapaswa uwe wewe na sio u-force kwaasababu ya hela ama uzuri nonononon! ila nikionacho kwa mtoa mada ni kama ameshindwa kutatua matatizo yake na akakimbilia kuona mtu wa umri mkubwa ndo suluhu kumbe sio, hata huyo anaweza kuwa kimeo vile vile.

kwani my dear hujawah sikia mtu wa miaka 45 anatembea na mwanafunzi? je atabashiri vipi kwamba huyu wa 40s atapona ktk hlo?
 
Last edited by a moderator:
no ishu si kuzeeshwa nikuwa realistic, ukiwapa rate ya 10 years constant wote wawil, aftrer 10yrs bint atakuwa 35 while mume 52 sasa kwa age hii kuna kwenda sawa kweli? Wacha 2 nizeeke na vijana wenzangu!

Hapa umesahahu facts mbili muhimu

1. mwanamke anzeeka haraka kuliko mwanaume kutokana na kuzaa.
2.Akili ya mwanaume inachelewa kukuwa kuliko ya binti. Sasa gap hilo ndo mnaenda sawa.

Mi naamia kwa vizee mikoba yote ya vijana nakukabidhi ujinafasi! LOL!
 
lara 1 mara nyingine inabidi utengeneze mazingira ya kupendwa ama niite ya upendo. usitegemee ukute upendo uko tayari ready made. unapotengeneza upendo unapaswa uwe wewe na sio u-force kwaasababu ya hela ama uzuri nonononon! ila nikionacho kwa mtoa mada ni kama ameshindwa kutatua matatizo yake na akakimbilia kuona mtu wa umri mkubwa ndo suluhu kumbe sio, hata huyo anaweza kuwa kimeo vile vile.

kwani my dear hujawah sikia mtu wa miaka 45 anatembea na mwanafunzi? je atabashiri vipi kwamba huyu wa 40s atapona ktk hlo?

Wapo watuwazima ovyoo ila wachache sio kama vijana ovyooo! Mtoa mada haypo happy huko kwa ndoa, hata mimi kosa la kumfededa beki tatu sisamehi iko siku atamfededa binti yetu.

Mi nipo very liberal ticha, TAFUTA FURAHA ILIPO, Kuolewa na kukuta um echemka si mwisho wa maisha ila kungangania mchemsho wa ndoa ni kujisababishia kuishi MISERABLY ALL THE REMAINING YEARS OF YOUR LIFE!!!!!!!! Khaaaaa! Mambo saivi ni kudumu kwnye ndoa yenye furaha ila si ndoa mradi ndoa basi upo!!!!!! No way!!!!

She is still young 27 anaweza kuolewa tena akapata na furaha akaishi kwa raha more than next 40 yrs. Mi naunga mkono aondoke tuuu, ataletewa magonjwa bureeeee. Huo umri anaoutaka ni insecurty tu aliyo nayo, ila naamini kuna vigezo vingine ataconsider japo hajaviweka bayana.
 
Hapa umesahahu facts mbili muhimu

1. mwanamke anzeeka haraka kuliko mwanaume kutokana na kuzaa.
2.Akili ya mwanaume inachelewa kukuwa kuliko ya binti. Sasa gap hilo ndo mnaenda sawa.

Mi naamia kwa vizee mikoba yote ya vijana nakukabidhi ujinafasi! LOL!

sikatai mwanamke kuzeeka haraka,lakin mwanamke wa miaka 35 ana uzee gan? ale ujana wake huko aje anizeekee miye aku staki,kwa wazee najua watarget mafao kama kina k-lyn,mie sihitaj hayo kama ni mafao natafuta yangu bt as long as nko kijana wacha nienjoy ujana na vijana wenzangu tena zile vurugu za vijana mie roho kwatu!
 
lara 1 ningemuelewa kama anetafuta patna mwingine tena aweke umri wa kawaida tu asijilimit kwenye umri huo. hivi kama yupo mwenye 35 ambaye ana upendo wa dhat je atamkataa?

anatakiwa akabiliane na changamoto ila huo umri sio suluhisho la changamoto za maisha soma vzr maelezo yake ni kama vile anajua akwamba akiulizwa nchi iliyopo kati kati mwa tz anatoa jibu dodoma. so kwake huu umri ndio jibu la mchangamoto za ndoa.
 
Uzi ule wa kimajungu majungu ya jf, mtu hana hata facts assumptions nyingiii. Mie pia UVCCM na huyo bwana namfahamu fika.

Tukirudi kwa mada, ticha huo upeondo wewe uliubahatisha tu, ila haupo. Ndoa saivi ni kusettle ama kuzidiana akili tu, ukisubiria upendo huo, utangoja sanaaa. Mapenzi ya kweli hamanaaaaa! Ukiona mtu yupo na mtu mjini hapa basi kuna kitu lazimaaa. Mimi kati ya watu wote wanaoolewa rika langu, sijaona true love hata ya kuvuta na manati. Mostly unakuta msichana kajinasisha anangangania aolewe, bwana anakubali shingo upande. Au kaka kamuona dada anajiweza basi ndo anajiweka jumla jumla.

Huyu bi dada mkomavu kaona yoteeee! Ndo maana ataka kusettle na mtu so as life to go on, watajifunza kupendana humo humo ndoani.

Lara....sitaki kuamini maneno yako hata kidogo, usi generalize tafadhari....i am married 5 years now, our age difference ni 8 years, and we love each other...i have been doing my best for my wife, giving everything she need, si kwakuwa nipo njema.....la hasha.
Na kusema wife eti kajishikishashikisha hilo nalo sikubali kwani am very experienced katika masuala ya mahusiano, i use to be a playboy hasa.....i know all the tricks gals/woman plays......i know the environment i met my wife, so no doubt she real loves me huendo more than i do.
Ingawa kwa experience pia, i don't trust a woman...but to my wife i do coz nimeshafanya attempt nyingi sana kujua the truth inside her...so please if your doing the same as you said, doesn't mean everyone is doing too.
Hii nakupa za ukweli sasa bidada.
 
Ni mschana wa miaka 27, nimeolewa na mwenye mtoto mmoja. niko kwenye ndoa ngumu sana, niko kwenye hatua za kuachana ila ni mtu ninaependa maisha ya familia, kutulia na mapenzi ya dhati. Natafuta mwanaume mwenye miaka kuanzia 40, anayependa maisha ya familia, muaminifu, msomi, muonekano mzuri na amejijenga kimaisha.
Binafsi ni mke mzuri mno kitabia, mwenye maadili, mzuri wa muonekano, msomi na mwenye kujitegemea 100%.
serious suitors email me; ffancy2@gmail.com

ni kwamba kuachana ni lazima, maana kazaa nje na anatembea na mahouse gal, ni mwanaume mwenye tamaa mno. na ningependa mwanaume mwenye miaka kuanzia 40 coz, hao wameshamaliza purukushani za dunia, wanajua wanachotaka, sio wa kuniacha na kutembea na younger women, wana heshimu mwanamke na kujua jinsi ya kumtreat. vijana wanasumbua kwakweli.
Ni pm au add me on g/talk for advise not otherwise....hope it will help
 
Revolutionist bana!!!!! Ushalogwa weyeee, dawa zimekukolea!!!! (jst kiding) Ishu ni kuwa KAMWE USIUSEMEE MOYO WA MWENZI WAKO!!!!!!! We sema unampenda baaaaaaaass ila usiseme ananipendaaaa!!!!!! You never know, till you know!
 
From a different angle, toka kwenye hiyo ndoa. Free your mind, ponya moyo wako kwa time majeraha yapoe. You are still in shock na hamaki. Ukikutana na mwanaume mwingine utammess up tu kwa sababu unakuja na a lot of bargage ya matatizo, wasiwasi na hisia hasi.

Sema kama unatafuta infidelator tu wa kukupooza hasira na sio mume. Kuna ndoa ambazo cheating is inevitable. Lakini usifanye hivyo kwa ajili yako mwenyewe. Usikubali matatizo yakupunguze stds zako. Yeye std yake ndo hiyo, cheating, kuzaa ovyo na kutembea hadi na housegals. Je, std yako ni ya cheating? Huhitaji kurukia tawi jingine kama nyani kabla hujaachia ndoa. Toka hapo, settle, jitambue na upate furaha. Mwanaume huyo mature atakuja kukamilisha tu furaha yako.

Pole. Take your time kujiandaa kutoka. Na hakikisha umeamua kweli. Huyo cheater akikubamba na mtu atapiga baragumu kila mahali kama yeye malaika.
 
pole sana mpendwa,usikate tamaa utafanikiwa kupata umtakae! kwakweli vijana wa siku hz ni full kusumbuana tu na kuzinguana.
 
Kma ni mteja mkubwa wa viungo vya siri vya mahaouse girl na kesha zaa nje! Duh Kimbia mbali asijekukuletea maradhi. Na tena unauwezo wa kujitegemea 100% ! 27yrs is too young to get new life with a new decent man.
 
Ni mschana wa miaka 27, nimeolewa na mwenye mtoto mmoja. niko kwenye ndoa ngumu sana, niko kwenye hatua za kuachana ila ni mtu ninaependa maisha ya familia, kutulia na mapenzi ya dhati. Natafuta mwanaume mwenye miaka kuanzia 40, anayependa maisha ya familia, muaminifu, msomi, muonekano mzuri na amejijenga kimaisha.
Binafsi ni mke mzuri mno kitabia, mwenye maadili, mzuri wa muonekano, msomi na mwenye kujitegemea 100%.
serious suitors email me; ffancy2@gmail.com

ni kwamba kuachana ni lazima, maana kazaa nje na anatembea na mahouse gal, ni mwanaume mwenye tamaa mno. na ningependa mwanaume mwenye miaka kuanzia 40 coz, hao wameshamaliza purukushani za dunia, wanajua wanachotaka, sio wa kuniacha na kutembea na younger women, wana heshimu mwanamke na kujua jinsi ya kumtreat. vijana wanasumbua kwakweli.

Nnakuandikia sasa hivi, mimi nimeanza chuo kabla siijaanza shule. Can you beat that kwa "usomi"?

Nilikuwa nakutafuta siku zoooote, leo umekuja mwenyeeeeewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom