Ni mschana wa miaka 27, nimeolewa na mwenye mtoto mmoja. niko kwenye ndoa ngumu sana, niko kwenye hatua za kuachana ila ni mtu ninaependa maisha ya familia, kutulia na mapenzi ya dhati. Natafuta mwanaume mwenye miaka kuanzia 40, anayependa maisha ya familia, muaminifu, msomi, muonekano mzuri na amejijenga kimaisha.
Binafsi ni mke mzuri mno kitabia, mwenye maadili, mzuri wa muonekano, msomi na mwenye kujitegemea 100%.
serious suitors email me; ffancy2@gmail.com
Huyo mwanaume wa 40 atakuwa single kwel? Au divorced or widowed kibongo*2 ngumu kumezapo.
sio uke wenza awe divorced au widowed, senior bachelor with kids...sawa 2
sio uke wenza awe divorced au widowed, senior bachelor with kids...sawa 2
Wala wasikutishe we tafuta wa 40 ndo wazuri sanaa, hata mimi akili zangu zisingekuwaga fupi ningetafuta na mimi babu langu linileleee! Chezeya surplus income!!!!! Nakuunga mkono watu wenye 40 wanahusika sanaaa kwa sababu zifuatazo
1. Walishainvest saivi wanavuna tu, hapo stress zinapungua
2.Wapo matured sanaaa na wameonja onja we saivi hawana expectations kubwa wanatafuta watu wa kuzeeka nao.
3.Hata ndugu zake hawatokusumbua manake unakuwa kama mwokozi wao coz walishakata tamaa kama jamaa ataoa
4.Utuuzima dawa, anakuchukulia kama mwanae hata ukiwa unaleta ushindani wapewa ushindi wa mezani.
5.Wako financialy stable so your future is guaranteed.
Mimi kati ya ndugu na friends wangu wotee the best couple ninayoikubali ni ya Guy 42, girl 25. wako poa sanaaaa!
Hayo ya kusema Widowed, Divorced, Senior bachelor hizo STATUS TUUU HAZIDETERMINE MOYO WA MTU WALA TABIA!!!!
shosti hapo kwa 25 to 42 si ndo kwa kuanza kutoka nje ya ndoa au kuwa widow ungal mbichi to me big no!
lara 1, sio mara zote umri unaweza determine maturity and financial stability ingekuwa hivyo tusingekuwa na watu wezi wa umri huo ama matapeli.
mfano umeusoma uzi juu ya hyu mtoto wa lucy nkya aliyewa uongozi huko UVCCM.? je wataka kusema umri wake umemsaidia?
maisha ya ndoa is more than ela ama umri, ni ule utu wa ndani ambao mtu anao juu ya mwenzi wake.na hapa namaanisha upendo uliobebwa ndani ya hisia za mapenzi za kweli na si hisia za mapenzi za ngono pekee. na hizi yyte anaweza kuwa nazo irrespective of age
no ishu si kuzeeshwa nikuwa realistic, ukiwapa rate ya 10 years constant wote wawil, aftrer 10yrs bint atakuwa 35 while mume 52 sasa kwa age hii kuna kwenda sawa kweli? Wacha 2 nizeeke na vijana wenzangu!Hahahaaaaa! Vijana watakuzeesha hawa, we waendekeze tuuuu!