Natafuta mume msomi mwenye miaka kuanzia 40.

you get me sooo well Lira! kisses

Wala wasikutishe we tafuta wa 40 ndo wazuri sanaa, hata mimi akili zangu zisingekuwaga fupi ningetafuta na mimi babu langu linileleee! Chezeya surplus income!!!!! Nakuunga mkono watu wenye 40 wanahusika sanaaa kwa sababu zifuatazo

1. Walishainvest saivi wanavuna tu, hapo stress zinapungua
2.Wapo matured sanaaa na wameonja onja we saivi hawana expectations kubwa wanatafuta watu wa kuzeeka nao.
3.Hata ndugu zake hawatokusumbua manake unakuwa kama mwokozi wao coz walishakata tamaa kama jamaa ataoa
4.Utuuzima dawa, anakuchukulia kama mwanae hata ukiwa unaleta ushindani wapewa ushindi wa mezani.
5.Wako financialy stable so your future is guaranteed.

Mimi kati ya ndugu na friends wangu wotee the best couple ninayoikubali ni ya Guy 42, girl 25. wako poa sanaaaa!

Hayo ya kusema Widowed, Divorced, Senior bachelor hizo STATUS TUUU HAZIDETERMINE MOYO WA MTU WALA TABIA!!!!
 
Halafu wanachapa kimoja tu usingizi fofofo!!
Ni sawa na kupokea mshara bila kufanya kazi!!
 
Ni mschana wa miaka 27, nimeolewa na mwenye mtoto mmoja. niko kwenye ndoa ngumu sana, niko kwenye hatua za kuachana ila ni mtu ninaependa maisha ya familia, kutulia na mapenzi ya dhati. Natafuta mwanaume mwenye miaka kuanzia 40 hadi 45, anayependa maisha ya familia, muaminifu, msomi, muonekano mzuri na amejijenga kimaisha.
Binafsi ni mke mzuri mno kitabia, mwenye maadili, mzuri wa muonekano, msomi na mwenye kujitegemea 100%.
serious suitors email me; ffancy2@gmail.com

ni kwamba kuachana ni lazima, maana kazaa nje na anatembea na mahouse gal, ni mwanaume mwenye tamaa mno. na ningependa mwanaume mwenye miaka kuanzia 40 hadi 45 coz, hao wameshamaliza purukushani za dunia, wanajua wanachotaka, sio wa kuniacha na kutembea na younger women, wana heshimu mwanamke na kujua jinsi ya kumtreat. vijana wanasumbua kwakweli!
mkristo will be preffered. thanks
mmmh! ,ahoa nao wa miaka hiyo ni maplayers balaa,zoz they have money,nakushauri achana na huu n mpango wa kumatafuta mtu kwa njia hii maana upo uwezekano wa kupata fake materials za kutosha,kifupi ni kwmaba wengi watapretend!
 
Ni mschana wa miaka 27, nimeolewa na mwenye mtoto mmoja. niko kwenye ndoa ngumu sana, niko kwenye hatua za kuachana ila ni mtu ninaependa maisha ya familia, kutulia na mapenzi ya dhati. Natafuta mwanaume mwenye miaka kuanzia 40 hadi 45, anayependa maisha ya familia, muaminifu, msomi, muonekano mzuri na amejijenga kimaisha.
Binafsi ni mke mzuri mno kitabia, mwenye maadili, mzuri wa muonekano, msomi na mwenye kujitegemea 100%.
serious suitors email me; ffancy2@gmail.com

ni kwamba kuachana ni lazima, maana kazaa nje na anatembea na mahouse gal, ni mwanaume mwenye tamaa mno. na ningependa mwanaume mwenye miaka kuanzia 40 hadi 45 coz, hao wameshamaliza purukushani za dunia, wanajua wanachotaka, sio wa kuniacha na kutembea na younger women, wana heshimu mwanamke na kujua jinsi ya kumtreat. vijana wanasumbua kwakweli!
mkristo will be preffered. thanks
mmmh! ,hao nao wa miaka hiyo ni maplayers balaa,zoz they have money,nakushauri achana na huu n mpango wa kumatafuta mtu kwa njia hii maana upo uwezekano wa kupata fake materials za kutosha,kifupi ni kwmaba wengi watapretend!
 
Wala wasikutishe we tafuta wa 40 ndo wazuri sanaa, hata mimi akili zangu zisingekuwaga fupi ningetafuta na mimi babu langu linileleee! Chezeya surplus income!!!!! Nakuunga mkono watu wenye 40 wanahusika sanaaa kwa sababu zifuatazo

1. Walishainvest saivi wanavuna tu, hapo stress zinapungua
2.Wapo matured sanaaa na wameonja onja we saivi hawana expectations kubwa wanatafuta watu wa kuzeeka nao.
3.Hata ndugu zake hawatokusumbua manake unakuwa kama mwokozi wao coz walishakata tamaa kama jamaa ataoa
4.Utuuzima dawa, anakuchukulia kama mwanae hata ukiwa unaleta ushindani wapewa ushindi wa mezani.
5.Wako financialy stable so your future is guaranteed.

Mimi kati ya ndugu na friends wangu wotee the best couple ninayoikubali ni ya Guy 42, girl 25. wako poa sanaaaa!

Hayo ya kusema Widowed, Divorced, Senior bachelor hizo STATUS TUUU HAZIDETERMINE MOYO WA MTU WALA TABIA!!!!

upo sawa wangu lara 1....ukweli mtupu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom