Natafuta mume aliye 'serious'

Mie nina vigezo vyote na kwa sasa ninafanya biashara zangu ambazo zinanipa kipato kizuri.

Kwasasa nipo brussels kibiashara na ntarejea hapo nyumbani Dar mwezi wa sita ili tuonane face to face ingawa nimeshakuwekea PM.

Ila masharti yangu ndiyo hayo ya kwenye PM kwamba ni lazima uwe 'BIKRA'sitaki 'BIKRA'za kichina mie!
 
mkuu chai chungu,kupata bikra kwa zama hizi ni nadra sana,nilishangaa sana juzi kuwaona watoto wawili wa miaka 3 (me na ke) wakisema "eti hiyo ni matusi"
 
mimi ni msichana wa miaka 26.elimu yangu ni shahada moja.sifanyi kazi.ni mwembamba,maji ya kunde.mkristo.
Natafuta mme msomi.at least degree ,mwenye hofu ya mungu,mwenye kazi ya maana ,mkristo ,mwenye mapenzi ya dhati,umri kuanzia miaka 29-35.kama uko interested ni pm
mimi nina masters pablic health management ila nimeamua kuiweka sandukuni, kwa sasa naendesha daladala, je sikufai? Kama nakufaa ni pm.
 
mie nashangaa mlitaka atafute jobless mwenzie ili huko nyumbani waangaliane kama majogoo au?lol

pole mwaya kwa wanaokukebehi ni watoto wa mafisadi kazi zao waliunganuishwa na baba zao hawajui msoto,unakutuma kujilipua tu...lol

ila hapa watu wako tofauti,ndio uzuri wake wengine watakubeza wengine watapita tu wengine watakupm,ushindwe wewe tu,lol
 
mimi ni msichana wa miaka 26.elimu yangu ni shahada moja.sifanyi kazi.ni mwembamba,maji ya kunde.mkristo.
Natafuta mme msomi.at least degree ,mwenye hofu ya mungu,mwenye kazi ya maana ,mkristo ,mwenye mapenzi ya dhati,umri kuanzia miaka 29-35.kama uko interested ni Pm
una TBS?
 
mi niko siriaz ila kama uko tayari kuwa mke wa tatu, we ni pm tu
 
Mie nina vigezo vyote na kwa sasa ninafanya biashara zangu ambazo zinanipa kipato kizuri.

Kwasasa nipo brussels kibiashara na ntarejea hapo nyumbani Dar mwezi wa sita ili tuonane face to face ingawa nimeshakuwekea PM.

Ila masharti yangu ndiyo hayo ya kwenye PM kwamba ni lazima uwe 'BIKRA'sitaki 'BIKRA'za kichina mie!

Ameni PM amesema hataki ccm, anataka walio SERIOU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom