Natafuta mume aliye 'serious'

mimi ni msichana wa miaka 26.elimu yangu ni shahada moja.sifanyi kazi.ni mwembamba,maji ya kunde.mkristo.
Natafuta mme msomi.at least degree ,mwenye hofu ya mungu,mwenye kazi ya maana ,mkristo ,mwenye mapenzi ya dhati,umri kuanzia miaka 29-35.kama uko interested ni Pm

"mwenye kazi ya maana"
.....wewe umekosaje hiyo kazi
 
unaanzisha uhusiano na mtu usiemfahamu? hii inakuaje? sijawahi kufikiri. Nisaiieni kwa hili.
 
Ebn me nna degree ya computer eng bt nw nalima vtunguu iringa chet kpo sandukun, if ur ready wellcm check me on 0655601779
 
mimi ni msichana wa miaka 26.elimu yangu ni shahada moja.sifanyi kazi.ni mwembamba,maji ya kunde.mkristo.
Natafuta mme msomi.at least degree ,mwenye hofu ya mungu,mwenye kazi ya maana ,mkristo ,mwenye mapenzi ya dhati,umri kuanzia miaka 29-35.kama uko interested ni Pm

Ni PM tu.
ninazo sifa.
 
Ama kweli binadamu ni viumbe wa ajabu sana.......Yeye mwenyewe hajafanikiwa kupata kazi halafu anawatenga wanaume wasio na kazi. Je na hao anaowataka wakisema hawawataki wanawake wasio na kazi itakuwaje?
 
Mmh dada nisikuongope its better ukampata muuza dagaa au mkaa kuliko huko usomini unakotaka coz huko kote alikopitia kaona wangap? Mume au mke hatafutwi mumy anatokea tu popote.
Ila wanaume wanatafutwa na siyo Mume
 
mwenye hofu ya mungu,mkristo.........huyu hakukosa kazi tu hata mume amekosa ndio maana anatangaza hapa-huyu hata kunioa nisingekubali,mtu wa mungu ana masharti yote haya?hajui wanawake walivyojaa eee?na kuwa yapo makanisa ukienda pale unachagua tu?..
"mwenye kazi ya maana"
.....wewe umekosaje hiyo kazi
 
mimi ni msichana wa miaka 26.elimu yangu ni shahada moja.sifanyi kazi.ni mwembamba,maji ya kunde.mkristo.
Natafuta mme msomi.at least degree ,mwenye hofu ya mungu,mwenye kazi ya maana ,mkristo ,mwenye mapenzi ya dhati,umri kuanzia miaka 29-35.kama uko interested ni Pm

Nani kakudanganya kwenye mitandao ndiko wanakopatikana wachumba?
 
"mwenye kazi ya maana" hapo hupati mtu.

Mkuuu Kaa mbali na hiyo manzi....sio ya kawaida.....mwaka 2013 alikuja Kwa mbwembwe hapa....watu wakamuotea...wakampiga mimba faster .....hiyo 2013, watu wamepiga mimba halafu katelekezwa na mtoto, ndio maana leo 2016 anakuja tena hapa Jf kutafuta mwanaume mwingine ili asaidie sasa kulea mtoto. Kinachoonekana huyu binti ni moto chini sana na sio mtu wa kutulia...hivyo ni suala tu la kuji-sevia na kusepa....na sio kuweka ndani...kama huamini maneno yangu....msome hapa...

Natafuta mume

Hicho kimeo mkuu.....
 
Mimi ni msichana wa miaka 26, elimu yangu ni shahada moja, sifanyi kazi ni mwembamba,maji ya kunde,mkristo.

Natafuta mme msomi at least degree,mwenye hofu ya Mungu,mwenye kazi ya maana,mkristo, mwenye mapenzi ya dhati,umri kuanzia miaka 29-35.

Kama uko interested ni Pm
kumbe hutafuti mwanaume SERIOUS ila unatafuta mwwnye siga hizi
Natafuta mme msomi at least degree,mwenye hofu ya Mungu,mwenye kazi ya maana,mkristo, mwenye mapenzi ya dhati,umri kuanzia miaka 29-35.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom