Natafuta mtu anaeuza LCD au Plasma TV

Ndechumia

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,103
420
Wakuu natafuta mtu mwenye Plasma au LCD TV ichi kuanzia 32-48.
napendelea iwe either Sony, samsung, sinsung, panasonic, LG. (sina utaalam sana na hiki HD) kiwepo,
wataalam naamin watanielimisha.

Najua zipo madukani ila bajet yangu haitoshi kwenda huko.
karibuni tufanye biashara.
 
kama upo Dar check kwenye maduka ya jeshi,
kuna jamaa yangu alinunua samsung LED, 40inch, inasoma flash na functions nying 4 only 1m.
That means kwa 32inch inatakua around laki 5 au 6.
Hapo vp
 
Kama upo Dar we can talk business nikuuzie SONY KDL 32BX311 lcd tv 32'' its new ina mwezi mmoja tu.price laki 7.5,if you are interested reach me throuh 0714 512648.
 
Back
Top Bottom