Ashangedere
Senior Member
- Aug 9, 2010
- 119
- 31
Mimi ni wife niliyewahi kutendwa mno na hubby wangu for the past 5 yrs yani alikuwa hasikii wala haoni kifupi hakunijali hata, na mungu alinijalia moyo wa kuyavumilia mengi mno(cheating zaidi) japo niliambulia ulcers na BP na wala hakujali. sasa ukafikia wakati mwanzoni mwaka huu moyo ukakataa kabisa yani najitahidi kuwa na hisia za mapenzi na huyu mme wangu lakini wapi yale yote ya nyuma yanajirudia!! sasa ndio kashtuka na mimi moyo umegoma kabisaaaaa yani yeye ndio amekuwa kama mimi nilivyokuwa zamani yani hatulii kwa wivu na kuumwa roho lakini mimi mapenzi kushney nikimuangalia najiuliza hivi nilimpendea nini?? namuonea huruma anavyohangaika lakini roho yangu haitaki tena, nahitaji mtaalamu anishauri sijui kama nataka hii ndoa au siitaki kifupi sijielewi ila najua kuwa mapenzi ya hisia kutoka kwangu kwenda kwa mwenzangu hakuna, japo simchukii namuona kama ndugu yangu hivi.
UPDATE:
Baada ya hapa nilipata vituko zaidi vya huyu bwana, mambo ya wanawake na nikamface na kumueleza live kuwa simfeel tena kila mtu akae chumba chake, tulikuwa wawili tu, basi niliambulia kipigo mwenzenu na ndugu zangu walipoingilia wakatukananwaaa ukoo wote. kwa hiyo issue imekuwa kubwa ndugu zangu hawampendi na wananiambia niondoke ataniua na kipigo au ukimwi. Kama kawaida yake kawa tena mpole na kulia juu anadai harudii tena kunipiga ni kama mara ya nne hii katika hii miaka 5. yani kawa mpole anajifanya baba wa familia, lakini mimi nahisi kipato ndio kinachangia aogope kuachana na mimi kwani hapo nyuma kipato changu kilikuwa kidogo na tulikuwa tukigombana tu ananiambia kama vipi tuachane, sikuhizi maisha yetu yamebadilika sababu ya kipato changu tuna mahitaji yote muhimu kwa maisha ya dar nyumba gari etc basi nahisi labda anaogopa maisha ya peke yake na ninamuonea huruma kwa hilo kwani kipato chake kidogo sana. Zaidi mwenzangu huyu ni muongo katika mambo mengi na anakopakopa hovyo halafu halipi nakuja kudaiwa mimi , lakini kizuri anawapenda wanae sana kuongea nao kucheza nao na yeye wanampenda sana na ndio kitu kinanifanya nisite kuamua. JE kunauwezekano wa mimi kuishi nae nyumba moja lakini kila mmoja awe na chumba chake kisheria? sitaki kutengana nae kwani yeye atapata tabu na watoto pia, pia nimekubali siwezi kumchunga na ninataka afanye mambo yake kwa uhuru ila asiniletee wanawake hapo nyumbani, tatu hiyo italeta amani kwani mimi nitakuwa happy sababu simfeel kimapenzi tena na yeye pia, ushauri tafadhali.