natafuta msichana mcheshi..

ambili

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
243
15
mimi ni mvulana, mtanashati na mpenda maendeleo aged less than 28 yrs.
Natafuta msichana wa kutoka nae weekend tubadilishane mawazo juu ya maisha, awe
1.mcheshi
2.mwenye mipango na mikakati mbalimbali juu ya maisha.
3. Umri chini ya miaka 25
Nipo tayari kumgharimia expense zote ikiwamo usafiri, misosi na drinks.
NB:
Kama una hivyo vigezo ni PM ,sina ubaguzi wa rangi, dini wala kabila karibuni sana.
 
Mwisho wa cku lazima utamtaka tu,ila nimeipenda ni style ingne ya kutafuta mke
 
Mwisho wa cku lazima utamtaka tu,ila nimeipenda ni style ingne ya kutafuta mke

Huo ni mtazamo wako mkuu, lakini mimi nahitaji mtu wa kubadilishana nae mawazo nikiwa bored.
 
Good gracious! unataka lady escort service at no cost other than buying her food & drinks eh?
I admire your scheme. If it works let me know coz I wanna try also
 
Ha ha ha ha mbele ya msosi nitaku PM Gharama ya maisha imepanda, but promise me 1 thing I will eat any thing, I want at any size
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom