- Thread starter
- #21
nisingependa kukosoa mkuu kwa nn hadharani but nta ku PM kwa nnKwanini hutaki mpare mkuu? Nipe hint!
nisingependa kukosoa mkuu kwa nn hadharani but nta ku PM kwa nnKwanini hutaki mpare mkuu? Nipe hint!
habari ndugu,
mimi ni kijana wa kume ninaye tafuta binti ambaye twaweza kushabiiana na kupatana vyema kisha tujenge family
ABOUT ME:
Umri:29
kabila:mjaluo/mmasai
Kazi:mwajiriwa
Rangi:mweusi japo sio tii
Uremu:187cm/
Elimu:Bachelor
Mahala napoishiar
Dini:mkristo
Tabia/nilivyo:mpole kiasi,si mwingi wa maneno,jasiri na mwenye malengo (ambitious)
Napendelea:music,movies
Sipendi:uongo
SIFA ZA NINAYEMTAFUTA:
Umri:29 kushuka chini
kabila:yote ila si mzaramu,mpare,mrangi,mmachame,mnyiramba
Kazi:sichagui bt awe mwenye malengo
Rangi:sichagui rangi
Uremu:urefu wa kati bt asinizidi mimi
Elimu:Minimum Diploma
Mahala napoishiopote
Dini:mkristo
Tabia:asiwe muongo,mcha Mungu,mchapa kazi,mvumilivu,mwepesi kusahau makosa na siyelipiza visasi
anyehisi anasifa hizo na kuvutiwa na zangu ani PM tu,sitopendelea kuongelea vingine hadharani
asanteni na nina imani ntampata.
sintoacha kuwajulishaKila la kheri, ila ukimpata tujulishe...
ntaku PM kwa ninihapo kwa mmachame inakuaje kiongozi?kibao wanawadis why?
hahaha sawa lizzyVigezo unavyotaka nnavyo na zaidi sema wewe huna nnavyotaka.
Kwanza kabila lako jeuri sana. . yote mawili. Weusi wako hautapendezesha watoto, na elimu bado sana.
kiswahili kigumu,asiwe iliishia kwa sifa ya kwanza tuHapo kwenye red kama nimekupata vizuri,inaonekana hupendi mtu mwenye tabia hizo.
ha ha ha! Uwiiiiiiiî wewe inabidi uwe Mwanasiasa tena wa CCMkidogo tu nifit
isipokuwa mie ni muongo wa kulipwa.
Hivi kungekuwa na namna ya kupress oda kwa mungu na kumpa sifa na vigezo za aina ya wenzi tunaotaka na kututengenezea ingekuwaje!!!
Najaribu tu kulifikiria hili maana mmmm...........................................!!!