Yap zipo mkuu
je mchina alivyojaa nitampata kweli mabinti wa kibongo,kazi kwenu:scared:
Namsaka mwanamke ambaye anatumia mafuta ya kawaida kama rays,baby care au anayepaka parachichi usoni ama mafuta ya asili kama nazi.je mchina alivyojaa nitampata kweli mabinti wa kibongo,kazi kwenu:scared: