Natafuta mrembo ambaye hajipodoi

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,816
10,999
Namsaka mwanamke ambaye anatumia mafuta ya kawaida kama rays,baby care au anayepaka parachichi usoni ama mafuta ya asili kama nazi.je mchina alivyojaa nitampata kweli mabinti wa kibongo,kazi kwenu:scared:
 
umeshasema hutampata, sasa ya nini kujichosha kutafuta kitu ambacho hutokipata???
 
sio kua simpati ila nasita mana mchina yupo mpaka bush
 
watu wanapenda ndoa lkn hii ya unatural beuty wa kunukia tui la nazi au na maparachichi nehihe.
hivi rays bado zipo mkuu.
 
Kama ukimpata ambaye hajipodoi kabisa then 'mzigo' anatoa bila mpangilio kwako poa au?
 
Huna lolote hauna bajeti ya maintenance wewe, usiturudishe zama za rays
 
tupake maparachichi tufatwe na nzi. halafu kisa cha kutafuta wapaka maparachichi ni nini? unaogopa gharama?
 
Namsaka mwanamke ambaye anatumia mafuta ya kawaida kama rays,baby care au anayepaka parachichi usoni ama mafuta ya asili kama nazi.je mchina alivyojaa nitampata kweli mabinti wa kibongo,kazi kwenu:scared:

umenipata mi napaka mumiez
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom