Hivi mwanamke unapata wapi ujasiri wa kumuomba penzi mwanaume ambaye si mpenzi wako?

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Aisee, hili suala la hamsini kwa hamsini linatupeleka pabaya kwa kweli. Sidhani kama tutafika. Umeanza na Melki nakupenda nikawa nakuangalia tu, ukaona haitoshi ukatangaza mtaa mzima kuwa tuko na mahusiano, nakuangalia tu.

Leo hii umeona haitoshi na kuja kuniomba penzi tena in moja kwa moja. Aisee, nimefurahishwa sana na hili, ifikie tu wakati na nyie wanawake muonekane kuwa mna shida na ukuni, siyo sisi tu tuonekana ndiyo watu wenye shida sana na papuchi.

Bado kautofauti katakuwepo tu, maana yake ni wanaume wengi tu hapa mtaani wamekuomba papuchi ukasema hapana "There is someone special", japo mwanzoni nilichukulia kama utani kwa sababu sikuwahi kuexperience hii kitu mahali popote pale. Kwa hiyo umeamua kusacrifice uzuri wako wote, hilo figure lako je? Na hiyo rangi ya mwili wako! Jumlisha na hizo dodo je? Basi bhana, we niletee niitafune ipasavyo, kwa hili sintokuhurumia kwa kweli

Binti kaniomba tufanye mapenzi, nahisi kuna namna nachezewa. Hii si kawaida kwa binti wa Kitanzania, tena Dar es Salaam. Haya mambo tumezoea kuyaona huko Bombay na Japan, huku kwetu bado sana.

Ni muda mrefu sasa tokea nipange ka chumba kangu kamoja ka mchongo hapa mtaani. Kuna binti ambaye kusema ukweli ni mrembo na mzuri kupita maelezo ambaye wanaume wa mtaa mzima huwa wanajigonga gonga na kumsujudia. Wengine hufikia hatua ya kumwabudu na kumlilia.

Nilishawahi kuapa hata hapa jukwaani kuwa "Haitokaa itokee nikamsujudia mwanamke, piga ua garagaza". Sasa huyu binti baada ya kuona kuwa sina muda naye akaanza mitego ya hapa na pale lengo lake akamilishe lengo la kuwavutia wanaume wote, atajipitisha pitisha, atajishikisha jisimu lake na mikucha yake ya ovyo, ndiyo kwanza sina time! Akafikia muda akaanza kunisalimu, lakini waapi!

Baada ya kuona wiki zinakwenda, akaamua kumtuma rafiki yake aje kunieleza kuwa ananipenda, nilichokifanya nikamwambia rafiki yake kuwa "Mimi nakupenda wewe, sema ni kwa vile huwa unaninyima muda wa kuzungumza na wewe, nipatie nafasi basi. Nakupenda. Kwani wewe hutaki?"

Binti akaishia kujichekesha chekesha kisha kupotea kusikojulikana. Baada ya siku kama mbili yule mrembo akarejea na kuanza kuniulizia masuala ya unamfahamu fulani? Ndani ya dakika hizo hizo akaamua kufunguka kuwa anavutiwa na mavazi yangu, sauti yangu, ucheshi wangu, n.k, nikawa nishajua tu kuwa kashadata.

Juzi kati nimetoka kumtafuna yule binti ambaye alikuwa ni njiwa wa mrembo tayari kwa ajili ya safari ya kimkoa.

Baada ya binti kutambua kuwa nina safari ya ghafla ndipo kunifuata na kunambia kuwa mbona sijamjulisha? Sasa nimjulishe yeye kama nani? Basi bhana, nikaamua kumuaga tu. Nilishtushwa na kauli yake ya ajabu baada ya kujua kuwa kesho kutwa ndiyo safari yangu itakapoanza, "Melki, naomba basi kabla ya kuondoka unipatie furaha yako".

Nikamuuliza "unasema nini?" akaanza kutetemeka na kujing'ata, akaamua kunambia nimuangalie machoni, sikuona chochote zaidi ya uzuri na tabasamu tamu lililofunika sura yake. Kisha akaniambia "Ndicho ninachomaanisha, please Melki, naomba unielewe, usinichukulie labda mimi ni m*laya, nimejikuta tu".

Haya bhana, kwenu wakulungwa, hapa si kwamba naingizwa cha kike ili kulea ujauzito wa Babu Juma?

Hii si kawaida kwa mabinti wa Kiswahili.

Ushauri tafadhari.
 
Tuma picha yako tuone
Mmh! Kwamba mtazame mwonekano wangu? Lakini si mlikubaliana kwenye kikao chenu kuwa haviwezi kuwawasha kwa sababu ya mwonekano wa mwanaume husika? Mkasema mnavutiwa na maneno atakayoyazungumza mwanaume wakati wa matongozo?

Na wengine mkasema pesa ndo kila kitu, kwamba nikiweka buku teni mezani mnapatwa na nyege mshindo, imekuwaje tena?
 
Sawa Melki wa mtenge wa njano
Aisee, hakuna code ninazozikubali kama zile. Nasubiri siku ya X mass nizitinge, ni mwendo mdundo na pikipiki yangu bila kusahau tai la kuwakilisha taifa kitengo cha maliasili

Kuna siku nitakuja kuweka picha ya hizo code hapa nikiwa juu ya Boda boda langu
 
internet neva forgets
Au unausemea ule wa Mwa J kwenye vigodoro? Niliamua kuhama kwangu kwa muda nikaamua kupanga gheto huku uswazi, sasa hivi kanimisije!!? Ndo kwanza namwambia ana miezi mitano ya ziada kuwa mbali na mimi, wacha tu wanisaidie kuchakata kwa kweli
 
jasiri haachi asili,
...mimi nasema, huu ni umalaya mamboleo.. au basi let me read the comments first
 
Ushauri wangu :
Ikimbie zinaa.

By the way, jambo la mwanaume kutongozwa sio jipya chini ya jua. Yusufu alitongozwa na Mke wa Potifa(Mwanzo 39) takribani miaka 3500 iliyopita!

Wanawake wanatongoza, tena wanatongoza sana. Ni kwamba wewe ndio imekutokea kwa mara ya kwanza.

Hata hivyo narudia tena kusisitiza; "ikimbieni zinaa kama Yusufu alivyoikimbia zinaa kwa Mke wa Potifa.
 
Na shule zinakaribia kufunga mbona tutakoma , endelea na hao wanafunzi wenzako miaka 30 ile pale
Hapana kadadaa, huyu ni binti mrembo mwenye hadhi ya kuwa slay queen wa IFM first year

Mimi ni baba wa watoto wangu wawili wa kipekee, kakubwa ka kike ambako kalicharazwa stiki na mwalimu x kakaingia period ghafla, yule ticha alikipata pata sio poa. Kengine ka kiume kadogo, kananikubali sio poa
 
Ushauri wangu :
Ikimbie zinaa.

By the way, jambo la mwanaume kutongozwa sio jipya chini ya jua. Yusufu alitongozwa na Mke wa Potifa(Mwanzo 39) takribani miaka 3500 iliyopita!

Wanawake wanatongoza, tena wanatongoza sana. Ni kwamba wewe ndio imekutokea kwa mara ya kwanza.

Hata hivyo narudia tena kusisitiza; "ikimbieni zinaa kama Yusufu alivyoikimbia zinaa kwa Mke wa Potifa.
Na kweli mkuu
 
Back
Top Bottom