Natafuta Mpenzi

SJUMAA26

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
607
167
Hello JF?

Natafuta mpenzi mwenye sifa zifuatazo:-

JINSIA : MWANAMKE
UMRI: >= Miaka 18
ELIMU: Kuanzia Sekondari hadi Chuo Kikuu
KAZI: Awe ni Mfanyakazi au mwenye kuingiza kipato halali
DINI: Mkristo
WASIFU: Mzuri wa sura na umbo, asiwe mnene wala mwembamba sana,mwenye kimo cha wastani, mweupe au maji ya kunde
MAHALI: Dar es Salaam au Mikoa ya Jirani
MALENGO: Ndoa (Baadaye)

Tafadhali wale walio serious tu wani-pm kwa mawasiliano zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom