HAPPY MAKUKU
Senior Member
- Dec 27, 2011
- 120
- 21
Ushauri wa bure, ndg huwezi ukapata right choice kwenye mtandao, na kutafuta dem kwenye mitandao ni dalili ya uoga wa kuaproach wasichana. jiamini kijana, na mwanamke makini huwa anataka mwanamme anayejiamini na kueleza kinagaubaga live siyo kwenye screen saver. mi naona kama wanakuchora tu kaka, kama kweli unatafuta mchumba anza kutafuta physically na sio ellectronically.Hahaha kaka mm sio domo zege jiulize 22 yrs nimeshachoka mapenz ya magumashi nina malengo kaka,ww kama huna endelea kusubr.