Natafuta mpenzi wa miaka 18-22

Jun 16, 2012
55
7
Umri wangu miaka 22(male), umbo langu wastani,urefu fut 5.7, bado nasoma college, Nahitaji mpenz(female) awe mweupe au maji ya kunde,slim,not more than 5.7 fut tall,and mostly aliyechoka kutendwa. Nimetendwa sana nahitaji kupumzika. nawasilisha serious pm please
 
Wallah unajua nilivyosoma hapo nimecheka mpaka basi
we ni handsome kisha unahitaji mpenzi(female)!!!!!
haya ukija kuhitaji mpenzi (male) nitafute
 
Wallah unajua nilivyosoma hapo nimecheka mpaka basi
we ni handsome kisha unahitaji mpenzi(female)!!!!!
haya ukija kuhitaji mpenzi (male) nitafute

Kilaza lazima acheke bcoz hakuna anachoelewa cku zote,hv una elimu gani au ndio umeungaunga result sleep 3.Inaonesha we ni shoga nitakutafuta.
 
Sasa mi na wewe na wewe yupi shoga??
We utasemaje handsome kisha unatafuta mchumba(female) hapo unavielement vya ungese
embu ingia mboonakuma.com utulizwe kwanza
mwanaume unasema handsome
kama si ushoga ni nini huo?
Hapo kama nakuona umepaka powder na lipstick
 
Acha ujinga kilichokufanya uniambie kama nataka wakiume nikwambie ulkuwa unamaanisha nn? Huwa sibishani na wapumbavu na wanaogongwa kama unaropoka tu kama umepakatwa, Endelea kuchezea nyeti za wanaume. Nchini kwako ulipo kuna elimu nzuri lakini ww cjui umesoma wapi yaani akili huna hata mm mdogo nimekuzd maarifa. Sura kama ndumku wako. fanya yako angalia nitakupoteza.
 
Hata mimi nahisi wewe utakuwa ni shoga tu! Kwani una vimaneno vya kike sana.
 
Hahahahah hapo kazi unayo aiseee jamani wengine twatafuta business partiners ww watafuta spending partiner

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
22みqjmiaka unaingia kitandaoni bila shaka we ni DOMO ZEGE
 
Hahahahah hapo kazi unayo aiseee jamani wengine twatafuta business partiners ww watafuta spending partiner

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

I have a business already of my own dealing with minerals nd am still looking 4 a partner who can supply a mining machines at msalala village MWAKITORYO geita,satisfied?
 
young, amechoka, anatafuta pumziko kwa mpenzi!!

jamani JF members, hebu basi pamoja na kuchekesha mtuonee huruma mbavu zetu

hivi wewe unauza uhandsome, mtoto wa kuime, halafu unategemea upate mshichana anaependa sura aje akupumzishe?? kweli? yani nsichana yuko serious na mahusiano aje kwako kwa kuwa handsome?
kama umetendwa, unadhani ni kwa nini?

Asante kwa burudani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom