Natafuta mpenzi wa kunioa anaeishi nje ya Afrika

Hi ladies and gents, boys and girls
Well let me be open
Wapenzi natafuta mpenzi ila awe nje ya africa, my dreams was kuolewa na kuishi nje,
Mwanaume serious umri kuanzia miaka 35 mpka 69,
Ni pm mengine tutaongea private.
I'm here for you,
Ukisoma tafadhali mwambie na mwenzako,
Ni hayo
Barikiwa

Vibabu vya kizungu vitakufaa
 
1475517886462.jpg
 
Hi ladies and gents, boys and girls
Well let me be open
Wapenzi natafuta mpenzi ila awe nje ya africa, my dreams was kuolewa na kuishi nje,
Mwanaume serious umri kuanzia miaka 35 mpka 69,
Ni pm mengine tutaongea private.
I'm here for you,
Ukisoma tafadhali mwambie na mwenzako,
Ni hayo
Barikiwa
Dah ungekua mwanaume sawa lakin mwanamke utazeeka mama
 
HahTE="jangala, post: 17893205, member: 209142"]Nenda BBC ukatangaze..ila humu utasubiri sana.[/QUOTE]
You made my day mkuu
 
Hi ladies and gents, boys and girls
Well let me be open
Wapenzi natafuta mpenzi ila awe nje ya africa, my dreams was kuolewa na kuishi nje,
Mwanaume serious umri kuanzia miaka 35 mpka 69,
Ni pm mengine tutaongea private.
I'm here for you,
Ukisoma tafadhali mwambie na mwenzako,
Ni hayo
Barikiwa
Dada umemtafuta real gentleman tangu mwaka 2014 - UMEMKOSA
Ukatafuta ufadhili wa kwenda Malaysia ili angalau ukae nje ( Upate kutimiza ndoto ya kuolewa nje ya Africa) - UMEUKOSA
Mwaka 2015 umetafuta nafasi ya kazi - UMEKOSA
Mwaka 2016 ukaendelea kutafuta tena nafasi ya kazi - UKAKOSA
Kuanzia Sept mwaka huu ukawa radhi kufanya kazi yoyote - UMEKOSA
Leo unatafuta wa kukuoa anayeishi nje ya nchi - XXXXX

Njoo PM tuongee, feel sad for you.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom