Natafuta Mkulima wa English Cucumber

Iniho

Member
Jul 3, 2018
97
66
Habari Wapendwa wa Jamii Forums

Natafuta mkulima wa hizi tufanye biashara hii inaitwa English Cucumber kama inavyoonekeana hapa pichani.

Kama naweza pata mtu tuwasiliane kwa namba hii 0684-753836
Screenshot_20230327-102942_Chrome.jpg
 
Sio zucchin Google zucchini na English Cucumber ni vitu viwili tofauti
 
Back
Top Bottom