Natafuta mke

Nipo dar na nahitaji mwanamke wa kuanzisha naye mahusiano ambaye atakuwa mke wangu. Muhimu awe mkweli na muamunifu na umri wake usiZidi miaka 54 Mimi umri wangu ni miaka 60 na tuwasiliane basi tuweze fahamiana
Oyaa babu la toyoo ulikua umefungwa kifungo cha miaka 30 jela ndo umetoka auu
 
Uzi kama huu angeleta jinsia ke ndio mngeona dunia haina usawa
Angekutana na kila aina ya kejeli

Nwei,kila la heri
Wanawake ni tofauti na wanaume kimaumbile,wanawake mna Menopause ambapo via vya uzazi husinyaa na ashiki ya mapenzi hupungua kwa kiwango kikubwa,tofauti na Wanaume ambao tunaendelea kuwa active kwenye sex hata uwezo wa kutungisha mimba unabaki pale pale.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Mie kanivutia huyu nimehisi kama mstaafu vile😁😁😁😁
Yaani kalenga penyewe....sema huyu mafao yatakuwa yako kwenye process.
Tu-asume mpaka mwezi 6 tayari atakuwa amepata mafao yake
Ndio utakuwa muda sahihi wa kwenda Pm yake.
Sahv acha wife material waanze wao kwanza....🤭
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom