Natafuta mke

Mtu akufie shida nini 60 eti kero mara ufumaniwe na kijana mara kuzaa naye shida anywe viagra ndio apige kimoja azimie . Mara amshwe babu dawa zako. Mmh !
Mie siwezi hiyo kitu.

Labda awe anakitu fulani je hi mitoto yake na majina yao. Umefuata ninj kwa baba umekosa warika lako?
Si useme tu awe na hela ukadange. Kitu fulani gani? Gunia za mkaa?
 
🤣🤣🤣🤣Aiseee Da mau nimekushindwa!Hata vijana wanakufa bwana na wanapaka mkongo usiwaamini sana vijana hao ni pasua kichwa,chagua Mzee ukale maisha Binti....Hawa wa umri huu watoto wao wanafanya kazi we ukifika ni safari tu za Tarangire na magoroto Lamomy njoo mshauri shoga yako
Anazuga muongo 🤣🤣🤣🤣
Ndio vitu vyake hivo da mau
 
Yaani umeukariri🤔🤔🤔?hata hivyo Gigy Hana akili ya kuandika huu ujinga lazima aliandikiwa..
🤣🤣🤣🤣 Sis hebu tulia kwanza, mchukue shem huyo anaonekana ana ulisi wa kushato ni ww wa kuzitumia unahitajia.!!
 
Mimi nipo hapa Dar na nahitaji mke wa kuoa, awe mnene kwa umbo na mcheshi pia mwenye upendo.

Umri wake usizidi miaka 55 wakati umri wangu miaka 60 na tuwasiliane basi tuweze fahamiana.
 
IMG_1225.jpg
 
Mimi nipo hapa Dar na nahitaji mke wa kuoa na awe mnene kwa umbo na mcheshi pia mwenye upendo umri wake usiZidi miaka 55 wakati umri wangu miaka 60 na tuwasiliane basi tuweze fahamiana
Mke hatafutwi ndugu yangu ukiona unatafuta mke jua bado hauna sifa ya kumiliki mke. Mdogo wangu jipambanie kwanza,jitafute halafu watakusumbua kama nzi kwenze bucha la nyama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom