Natafuta mke wa kuoana nae

cangeofrey

Member
Jun 7, 2015
15
0
Mimi naitwa Can, natafuta mke wa kuoa/kuoana naye awe na sura nzuri, tabia nzuri mcha Mungu(mkristo), Elimu yoyote, kabila lolote na Taifa sibagui.

Note that:~kua siriazi sifanyi mzaha, aliyetayari ani pm

Asanteni
 
Wewe mwenyewe huko serious huyo mtarajiwa wako atakutafutaje.
Weke mawasiliano kwanza na full maelezo about you.
 
Sema unatafuta mwanamke na siyo mke maana hajawa mke wako bado.

mimi naitwa Can, natafuta mke wa kuoa/kuoana naye awe na sura nzuri, tabia nzuri mcha Mungu(mkristo), Elimu yoyote, kabila lolote na Taifa sibagui note that:~kua siriac sifanyi mdhaha, aliyetayar ani pm. asanten!
 
Kwa hiyo wewe unataka kuoa online? Hujui kuwa suala la mapenzi ni subjective? Kwa nini hukuenda kanisani au msikitini ukafanye maombi ili Mungu akuongoze na akidhi haja ya moyo wako! Kwa gear unayotumia usishangae once utapoolewa badala ya kuoa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom