Natafuta mke mwenye jinsia mbili(shemale)

At least hujaongopa hapo kwenye umri maana hii ni thread ya 2012 na ulisema una 42 na sasa ni 44...uthibitisho tosha kuwa ni wewe muhusika mkuu. Be serious with life brother..kwa umri wako si wakufanya vituko kama hivyo...

Mm ni mwanaume mwenye umri wa miaka 42,natafuta mwanamke mwenye jinsia mbili(shemale)awe mke wangu wa maisha,nina dhamira ya kweli na nipo serious kwa hili napenda kuoa mwanamke mwenye jinsia mbili,naomba tuwasiliane kwa email adres ifuatayo fastafastah@ovi.com
 
Mkuu miaka 44, watoto 6 mama tofauti, mario, na bado unakaa asubuhi mpaka jioni unaangalia tamthilia?, the is full of shit, Fasta wewe unahitaji maombi
 
Last edited by a moderator:
44 years still unaishikwenu!Inaonekana umeshawaharibia wadada wengi malengo yao but mwisho wako umefika Gubegube mkubwa we.
Mm ni mwanaume mwenye umri wa miaka 42,natafuta mwanamke mwenye jinsia mbili(shemale)awe mke wangu wa maisha,nina dhamira ya kweli na nipo serious kwa hili napenda kuoa mwanamke mwenye jinsia mbili,naomba tuwasiliane kwa email adres ifuatayo fastafastah@ovi.com
 
Yeeuuuwiiiiiiii!!! Kumbe ndo hili jitu zima ovyooooooooo!!! Jibaba miaka 44 halafu akili hata za nzi,mweeee maskini watoto hawachagui mzazi! Hao wanawake nao ulowazalsha wangeujua huu ubazaz wako hata wasingethubutu kukupa papuch zao uzitie janaba looo! Umewatia dosari kubwa sana wanawake wenzangu! Looooo mxiuuuuuuuuuuuuuuu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom